Optical level!Kwa kifupi kuna sehemu unaweza kupata kiwanja ...mchanga ukawa unaletewa na mkokoteni Vs.Tipper.
Kuna sehemu maji ndoo ni BUKU lakini sehemu nyingine ni sh. 50
Kuna baadhi ya maeneo ku Set kiwanja unatumia TOTAL STATION na kuna baadhi ya maeneo fundi ana set kwa macho.
Sasa basi hayo maeneno yenye unafuu ndio nayaita uswazi.
Nina uhakika huna ufahamu na total station na kwa kukusaidia,ipo hapo pichani
View attachment 433836
Asilimia 75% ya gharama za ujenzi zipo ktk usafiri.
Mambo ya Survey hayo hizo total station nliwahi kutumia Leica,Sokia na upande wa GPS nlikuwa natumia Trombone..!Optical level!
Naisaka leica ya zamani, mwenye nayo anichekiMambo ya Survey hayo hizo total station nliwahi kutumia Leica,Sokia na upande wa GPS nlikuwa natumia Trombone..!
Ni zamani kidogo nlishaachana na hayo mambo.
Nime penda wazo lako ndug...Ungekuwa dar tungeingia ubia Wa biashara ambayo imenishinda kuendeleza
Bro mi mwenyewe niko Namanyere ila nakuja sana Swax..mi niko interested sana na biashara ya chakula na drinks..kama utaona inafaa unaweza nicheki kwa 0689601732 tukadiscuss kidogo kuhusu biashara..pia nina kaofisi hapo two ways karibia na kwa Kimati shop so tunaweza discuss mkuuhabari wakuu!
katika mitego yangu ya hapa na pale nmenasa mkwanja kama mil 15 na laki saba lakini sina uzoefu na biashara! naombeni mawazo nifanye biashara gani ambayo inaweza nitoa
nipo sumbawanga wakuu!
Nimeshangaa sana mkuu anasema yupo sumbawanga then hajaona fursa ya buashara ya mazao duhKwa utawala huu ushauri wangu usifanye biashara nje ya vyakula, ungekuwa dar ningekutafuta nikuonyeshe fursa zilizopo, Ila biashara mwa sasa ni chakula tu
Sio ladhima mimi silipwi hapa na wala wewe unilipi na wala mimi sio mtoa mada mimi ni mshauri tu na ni ihari yangu sababu wazo la biashara wanauza wewe unataka bure
Umeshatoka?Mkuu toka huko shimoni uliko njoo jiji la kitajiri (Dar es salaam)
Ukifika nishtue nikupeleke sehemu inaitwa le grand casino..
Amini usiamini ukibet hiyo milion 15 na hiyo ni kwausiku mmoja tu unaondoka na milioni 150 yaani hiyo ni per night...
Usijaribu kuingia biashara yeyote now hata ya chakula ( watu siku hizi hawali kivile wanashindia Karanga za kuchemsha) magu kabana kila kona!
For further info's nipm utoke....
fungua duka la vitu vya jumla soda bia unga wa ugali na ngano na vikookoro vidogo vidogo inaweza ikachukua kama milion 5 nyingine weka benk maisha yanakwenda
mie naomba unijuze kama unafahamu wapi zile chupa za bia za ndogo( disposable) wananunua wapi? nimejiajiri kwenye kuzoa matakataka mtaani.
mfano windhoek, henken serengeti chupa ndogo na chupa zote za wine, rangi za chupa ni kijaniSijakuelewa unaitaji Chupa ya Aina gani na ni used au mpya jina la hichokinywaji na ya rangi gani na ml ngapi?
Elezea basi ata kwa ufupiUza mafuta ya taa
mwenzio anataka kusafisha pesapesa nliopata sio ya biashara
shindwa kwa jina la yesuMkuu toka huko shimoni uliko njoo jiji la kitajiri (Dar es salaam)
Ukifika nishtue nikupeleke sehemu inaitwa le grand casino..
Amini usiamini ukibet hiyo milion 15 na hiyo ni kwausiku mmoja tu unaondoka na milioni 150 yaani hiyo ni per night...
Usijaribu kuingia biashara yeyote now hata ya chakula ( watu siku hizi hawali kivile wanashindia Karanga za kuchemsha) magu kabana kila kona!
For further info's nipm utoke....