Ni biashara gani ukifanya Tanzania unaweza kuwa millionaire au billionaire

Lugumi nae ana Deal na izo Tenda za jeshi
 
$1bil tz hamna nitakuwa wa mwisho kuamini tz hii
Nafikiri mabilionea wa dola wa halali wapo wawili tu nchi hii.

Ambao ni Muhammed Dewji mwenye $1.5b na Said Bakheresa mwenye $1.2b

Ila mabilionea wa dola nchii hii ambao sio wa halali wapo wengi sana akiwemo mzee wa msoga na Mwigulu Nchemba...
 
Kabisa
Yupo jamaa ana Tender ya ku supply vikorokoro vya IT mashallah mashallah yupo vizuri sana tena mno mpaka anawajengea mayatima ...alhamdulilah
 
Dunia nzima matajiri hufanya biashara na serikali. Huko ndio kuna pesa za bure zisizo na maumivu yoyote.
 
Nafikiri mabilionea wa dola wa halali wapo wawili tu nchi hii.

Ambao ni Muhammed Dewji mwenye $1.5b na Said Bakheresa mwenye $1.2b

Ila mabilionea wa dola nchii hii ambao sio wa halali wapo wengi sana akiwemo mzee wa msoga na Mwigulu Nchemba...
Hapo umenitoa tongotongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…