"Mtaji wake ni mdogo" ni kama kiasi gani mkuu?,Stationery ukipata sehemu nzuri inalipa, mtaji wake ni mdogo, na inarudisha fast, passport size 2000/= kopi, printing nk
Walau milioni 3 kwa kiwango cha chini. Photocopy machine, printer, lamination machine, stapler kubwa/ndogo, desktop iliyo kamilika/laptop, nk."Mtaji wake ni mdogo" ni kama kiasi gani mkuu?,
Ni ukweli mkuu million 3 haziwezi kutosha kwa biashara ya stationery. Ukianzia kwenye photocopy Machine hadi kwenye vitendea kazi vingine inakuja pesa nyingi tu, labda ujibane utafute vitu used/ second hand.Walau milioni 3 kwa kiwango cha chini. Photocopy machine, printer, lamination machine, stapler kubwa/ndogo, desktop iliyo kamilika/laptop, nk.
Baada ya hapo ndiyo uje sasa kwenye vitu vidogo vidogo! Na hapo ni nje ya kabati na shelf! Kudadeki hata hizo milioni 3 zenyewe hazitoshi.
Ila ukisha kamilisha kuianzisha na kumpata kijana mzuri wa kuisimamia! Hakika utakua unakula tu mafao. Ni biashara moja nzuri sana.
Mkuu hebu nipe madini kidogo hapa, ukiwa Wakala wa premierbet na kampuni zingine commission zao zikoje.Kubetisha
Premier bet buku saba unapata ukiuza laki moja.....sasa hivi raia hawana hela mie nilikuwa nauza laki nne per day mpaka tano wikiend sasa ndio balaa nagonga laki nane mpaka 1M.......nilikuwa na mashine mbili moja ya vibosile kuanzia mkeka wa buku kumi na kuendelea hawa walikuwa balaa mtu anakuja na laki tatu anatoa mkeka mmoja tu mashine nyingine ya hawa wenzangu na mie mikeka ya jero buku mpaka buku tisa.....mkuu hebu nipe madini kidogo hapa, ukiwa Wakala wa premierbet na kampuni zingine commission zao zikoje.
Biashara ya chakula...sembe kilo 1 linatoa plate 9_10...
Dona linatoa plate 7
Sasa ukatafuta kijiwe ukaspeciliaze kwenye uchomaji nyama mzuri plus mapande...ukatengeneza formula nzuri ya pilipili..yaan ni ugali na nyama na mboga majani na maharage...kwasiku unalaza 20faida...ila wateja wa dona bei sio ya buku...maana dona halivimbi ni hasara kibiashara...
Sure..wengine walikuwa hapa nyuma ya ghorofa ya China town sijui. Uwii wanauza mnoo. Hata ukitaka kwa 1500 bado inalipa..mradi uhakikishe unauza zaidi ya plate 50...Kuna jamaa kariakoo agrey mitaa ya wauza simu.wasambaa wale dadeki ugali pande buku 2,wanaweka na vikabichi na pilipili.mnahombania yaani foleni unakula Hadi umesimama. Siku hizi sina mishe kule Ila najua watakuwa mbali sana
Kama hivyo commission ni ndogo mno.Premier bet buku saba unapata ukiuza laki moja.....sasa ivi raia hawana ela mie nilikua nauza laki nne per day mpaka tano wikiend sasa ndio balaa nagonga laki nane mpaka 1M.......nilikua na mashine mbili moja ya vibosile kuanzia mkeka wa buku kumi na kuendelea hawa walikua balaa mtu anakuja na laki tatu anatoa mkeka mmoja tu mashine nyingine ya hawa wenzangu na mie mikeka ya jero buku mpaka buku tisa.....nilikua nafunga kijiji balaa pale mtaani nikikosekana masaa tu natafutwa kwenye simu na wafanya biashara wa lile eneo huwa wananiambia nasie tunauza vinywaji na vyakula sana kupitia wewe mimi mwenyewe sikuwahi kuwaza kabisa kama kuwa kwangu pale ni faida kwa wengine......
Nilisoma chuo miaka mitatu kupitia ile biashara nilimaliza 2015 kizaazaa alipoingia huyu bwana wateja wakaanza kupungua mdogo mdogo mwishowe hakuna kabisa umeuza sana laki tena wikiendi kufika 2017 mwishoni nikafunga rasmi biashara........
Umesema Wasambaa? Oohh hao watakuwa mbali.Kuna jamaa kariakoo agrey mitaa ya wauza simu.wasambaa wale dadeki ugali pande buku 2,wanaweka na vikabichi na pilipili.mnahombania yaani foleni unakula Hadi umesimama. Siku hizi sina mishe kule Ila najua watakuwa mbali sana
Ndogo mdau lakini ilinisaidia sana na nadhani kula kulala home nayo ilichangia labda...Kama hivyo commission ni ndogo mno.
Hili African Bonanza/ dubu katika kila 60,000 ya kwako 9000 na bado mi nikaona ni hela ndogo nikatemana nalo.
Hata mimi nilikuwa nayo nikairudisha...tech ilivyokua watu wengi walihamia online, mambo ya kutembea na makaratasi wakaachana nayo.Premier bet buku saba unapata ukiuza laki moja.....sasa ivi raia hawana ela mie nilikua nauza laki nne per day mpaka tano wikiend sasa ndio balaa nagonga laki nane mpaka 1M.......nilikua na mashine mbili moja ya vibosile kuanzia mkeka wa buku kumi na kuendelea hawa walikua balaa mtu anakuja na laki tatu anatoa mkeka mmoja tu mashine nyingine ya hawa wenzangu na mie mikeka ya jero buku mpaka buku tisa.....nilikua nafunga kijiji balaa pale mtaani nikikosekana masaa tu natafutwa kwenye simu na wafanya biashara wa lile eneo huwa wananiambia nasie tunauza vinywaji na vyakula sana kupitia wewe mimi mwenyewe sikuwahi kuwaza kabisa kama kuwa kwangu pale ni faida kwa wengine......
Nilisoma chuo miaka mitatu kupitia ile biashara nilimaliza 2015 kizaazaa alipoingia huyu bwana wateja wakaanza kupungua mdogo mdogo mwishowe hakuna kabisa umeuza sana laki tena wikiendi kufika 2017 mwishoni nikafunga rasmi biashara........