Ni Bidhaa Au Kifaa Gani Sitakiwi Kukosa ndani ya nyumba?

Kimoja kati ya hivi:

55" inch TV screen, 4K
Soundbar atleast 320W kwenda juu.
Hapa kwenye sound bar umenigusa mi naamini uwe na ghetto au nyumba cha kwanza mziki mnene

Sio lazima kudundisha kama mashindano ila muhimu kusikiliza mziki mzuri hata kwa sauti ya chini ila kiyu kiwe quality
 
kutokana na upepo wa kisiasa; tochi,ka-fimbo kama rungu na kipande cha nondo muhimu sana
 
Unyama sana mkuu mi pia nina android tv 55'' na router ya airtel unlimited ni mwendo wa kunyang'anyana remote tu

hii kitu sio poa aisee nimeipiga kodi aisee. Naangalia dunia nzima. Azam max hayupo play store natumia app ya downloader kumcheki
 

Kosa vyote ila ndani ya nyumba usikose HELA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…