Ni Bidhaa Au Kifaa Gani Sitakiwi Kukosa ndani ya nyumba?

Ni Bidhaa Au Kifaa Gani Sitakiwi Kukosa ndani ya nyumba?

Muhimu sana hii, DIY kwa kila Me
 

Attachments

  • Screenshot_20240916_093309_Google.jpg
    Screenshot_20240916_093309_Google.jpg
    230 KB · Views: 4
Unazingua
Huwezi elewa ww kijana, ukiwa na familia ndiyo utajua umuhimu wa vitu kama nyundo, screw drivers, plies, msumeno, panga etc.. kuna vile vitu vya kufix fasta fasta siyo lazima uite fundi issue kama kitasa cha mlango, kiti meza kitanda cha kugongelea msumari mmoja au miwili etc..
 
Kutokana na maisha yanavyoenda nimejikuta nimenunua router ya unlimited ya company flani. Hii inanisaidia kupunguza gharama pale nyumbani kwa watu wote. Pia imeleta furaha ndani ya nyumba.

NI Bidhaa gani ni za muhimu kuwepo ndani ya kwa maisha ya sasa?
Kwa stress za maisha za sasa
Sumu sio nzuri kuwanayo ndan kabisa
 
Back
Top Bottom