Ni bora kuamini Mungu yupo umkose kuliko kuamini hayupo umkute?

Hili swali linatengeneza msururu mrefu wa sehemu nyingi vinapotoka vitu.

Kwa sababu ukianza kuuliza, mimi nimetoka wapi, hata huko ulipotoka tutauliza tena, kumetoka wapi, na huko kulipotoka, tutahoji tena kulitoka wapi.

Ukisema Dunia ilitoka wapi na wengine tutauliza Mungu alitoka wapi.

An infinite regress of causes is an endless chain of events where every cause has its own prior cause going back forever.

There is no first event, no start, and no uncaused beginning.
Hakuna msururu ni simple tu.tumetoka kwenye miili ya Adam na hawa ambao waliumbwa na MUNGU.
 
Huyo Mungu aliumbwa na nani?

Usiseme hakuumbwa.

Kwa sababu kama Mungu ameweza kuwepo mwenyewe tu, bila kuumbwa. Hata Ulimwengu umeweza kuwepo wenyewe tu, bila kuumbwa.
 
Kuhusu yeye kuumbwa au kutokuumbwa sidhani kama ni hoja .ila yeye ndo wa mwanzo na yeye ndio wa mwisho yeye ndiye aliyeanzisha dunia.na yeye ndio atauleta mwisho wa Dunia.
Sayansi umekuja kugundua kile ambacho mungu katengeneza.wakati sayansi unasema binadamu wa kwanza alikuwa nyani.vitabu vya mungu vilishamuelezea binadamu original asili yake ni udongo Kwa mwanaume na mbavu Kwa mwanamke
 
Kuhusu yeye kuumbwa au kutokuumbwa sidhani kama ni hoja.
Kama kuhusu yeye kuumbwa au kutokuumbwa si hoja, Kwa nini kuumbwa kwa ulimwengu iwe ni hoja?

Kwa nini kuumbwa kwa ulimwengu iwe hoja, lakini kuumbwa kwa huyo Mungu isiwe hoja?

Kwa nini unataka kumu-exclude huyu Mungu kwenye kuumbwa?

Halafu hapohapo unalazimisha ulimwengu uwe uliumbwa?

Unafanya logical fallacy inaitwa special pleading fallacy.

The special pleading fallacy happens when someone applies a general rule to everyone else, but claims an unjustified exception for themselves or their topic.

It relies on a double standard and changes the criteria mid-argument without a valid reason.

ila yeye ndo wa mwanzo na yeye ndio wa mwisho yeye ndiye aliyeanzisha dunia.na yeye ndio atauleta mwisho wa Dunia.
Sayansi umekuja kugundua kile ambacho mungu katengeneza.wakati sayansi unasema binadamu wa kwanza alikuwa nyani.vitabu vya mungu vilishamuelezea binadamu original asili yake ni udongo Kwa mwanaume na mbavu Kwa mwanamke
Sasa hapa unafosi tu.

Kwa sababu, kwanza huna uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu.

Unafosi tu bila kuwa na uthibitisho.

Halafu binadamu hawaumbwi na wala hatukuumbwa.

Binadamu wanazaliwa kwa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.

Hatuumbwi na wala hatukuumbwa.

Binadamu, tunazaliana wenyewe kwa wenyewe.

Hakuna Mungu aliyeumba kitu chochote kile.

Hakuna Mungu.

Mungu hayupo.
 
Kama kuhusu yeye kuumbwa au kutokuumbwa si hoja, Kwa nini kuumbwa kwa ulimwengu iwe ni hoja?

Kwa nini kuumbwa kwa ulimwengu iwe hoja, lakini kuumbwa kwa huyo Mungu isiwe hoja?

Kwa nini unataka kumu-exclude huyu Mungu kwenye kuumbwa?

Halafu hapohapo unalazimisha ulimwengu uwe uliumbwa?

Unafanya logical fallacy inaitwa special pleading fallacy.

The special pleading fallacy happens when someone applies a general rule to everyone else, but claims an unjustified exception for themselves or their topic.

It relies on a double standard and changes the criteria mid-argument without a valid reason.

Sasa hapa unafosi tu.

Kwa sababu, kwanza huna uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu.

Unafosi tu bila kuwa na uthibitisho.

Halafu binadamu hawaumbwi na wala hatukuumbwa.

Binadamu wanazaliwa kwa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.

Hatuumbwi na wala hatukuumbwa.

Binadamu, tunazaliana wenyewe kwa wenyewe.

Hakuna Mungu aliyeumba kitu chochote kile.

Hakuna Mungu.

Mungu hayupo.
Mungu hajadiliwi alipotoka ILA YUPO.maana Dunia sisi tumeikuta na tutaiacha Adam mwenyewe baba yetu kaikuta Dunia na kaiacha
 
Sasa wewe unafosi tu.
Hamnaaa.kiukweli hakuna ajuaye mungu katika wapi zaid ya yeye mwenyewe.ila tulisoma vitabu vyake anasema YEYE YUPO.yeye ndo kaumba Dunia na tunaiona hapo yeye haonekani.
Tukimkataa mungu basi tuikatae na dunia kwamba Dunia HAIPO
 
Vitabu vyake vipi hivyo mlivyosoma ?
 
Kuhusu yeye kuumbwa au kutokuumbwa sidhani kama ni hoja .ila yeye ndo wa mwanzo na yeye ndio wa mwisho yeye ndiye aliyeanzisha dunia.na yeye ndio atauleta mwisho wa Dunia.
Sayansi umekuja kugundua kile ambacho mungu katengeneza.wakati sayansi unasema binadamu wa kwanza alikuwa nyani.vitabu vya mungu vilishamuelezea binadamu original asili yake ni udongo Kwa mwanaume na mbavu Kwa mwanamke
Vitabu vipi na vya mungu yupi ??
 
Hamnaaa.kiukweli hakuna ajuaye mungu katika wapi zaid ya yeye mwenyewe.ila tulisoma vitabu vyake anasema YEYE YUPO.yeye ndo kaumba Dunia na tunaiona hapo yeye haonekani.
Tukimkataa mungu basi tuikatae na dunia kwamba Dunia HAIPO
Mmesoma vitabu vyake vipi hivyo?
Ana vitabu vingapi?
Mmejuaje ni vitabu vyake na sio utapeli au hadithi tu za watu za kutunga?
 
Kama hakuna ajuae Mungu katoka wapi, aliyejua hivyo vitabu ni vya Mungu alijuaje?

Na kuna vitabu vingi sana vinavyo pingana vyenyewe kwa vyenyewe kuelezea uwepo wa Mungu huyo.

Sasa Mungu gani anakuwa na vitabu vingi vinavyo tofautiana maelezo katika kumuelezea yeye?
 
Mungu alituma mitume na manabii kuleta ujumbe kwetu.ndo tunawapata Ibrahim,isihaka,yakobo Yahya ,mussa,issa wa mwisho ndo mtume Muhammad.
Vitabu vya mungu ni zaburi,taurati ,injili na Cha mwisho Quran
 
Mmesoma vitabu vyake vipi hivyo?
Ana vitabu vingapi?
Mmejuaje ni vitabu vyake na sio utapeli au hadithi tu za watu za kutunga?
Kupitia mitume na manabii ndo tumemjua mungu.
Zaburi ya daudi,taurati ya Musa injili ya issa na Quran ya mtume Muhammad
 
Mungu alituma mitume na manabii kuleta ujumbe kwetu.ndo tunawapata Ibrahim,isihaka,yakobo Yahya ,mussa,issa wa mwisho ndo mtume Muhammad.
Vitabu vya mungu ni zaburi,taurati ,injili na Cha mwisho Quran
Wewe unasema vitabu vya Mungu ni zaburi, taurati, injili na Quran tu! Kwa vile ndivyo ulivyo kariri na kuvijua tu.

Vipi kuhusu Torah, kitabu cha wayahudi?

Vipi kuhusu Tripitaka, kitabu cha wabudha?

Vipi kuhusu The Vedas, kitabu cha wahindu?

Vipi kuhusu Rastafar Bible, Biblia ya Rastafarians?

Vipi kuhusu The Kojik, Kitabu cha washinto wa kule Japan?

Vipi kuhusu Tao te ching, kitabu cha watao wa kule China?

Vipi kuhusu The Guru Granth Sahib, kitabu cha wasikhism?

Unavijua vitabu vyote hivi?

Au umekariri Biblia na Quran tu?
 
Kati ya vitabu hivyo Kuna kitabu ambacho kimesema mungu HAYUPO?
 
Hivi vitabu vimeandikwa na theists, waamini Mungu.

Ndio maana vyote vinasema Mungu yupo.

Kwa sababu viliandikwa na waamini Mungu.

Je unataka nikupe vitabu vyetu sisi wakana Mungu (Atheists) vinavyosema Mungu hayupo?
 
Wewe unadhani kwanini wanaamini mungu yupo?
 
Kwa sababu wamepumbazwa na kuaminishwa tangu utotoni kuamini hivyo.

Hata wewe, wazazi wako ndio walio introduce imani kwako na ndio walio kuaminisha kwenye imani za Mungu. Kwa sababu hata wao waliaminishwa hivyo na wazazi wao. Babu na Bibi yako.

Leo hii mtoto akizaliwa na asipewe imani yoyote kuhusu habari za huyo Mungu. Wala hatomjua huyo Mungu.
 
Back
Top Bottom