mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Kwanini wewe unayeona mungu HAYUPO kwamba upo sahihiKwa sababu wamepumbazwa na kuaminishwa tangu utotoni kuamini hivyo.
Hata wewe, wazazi wako ndio walio introduce imani kwako na ndio walio kuaminisha kwenye imani za Mungu. Kwa sababu hata wao waliaminishwa hivyo na wazazi wao. Babu na Bibi yako.
Leo hii mtoto akizaliwa na asipewe imani yoyote kuhusu habari za huyo Mungu. Wala hatomjua huyo Mungu.