Ni bora kuamini Mungu yupo umkose kuliko kuamini hayupo umkute?

Kwanini wewe unayeona mungu HAYUPO kwamba upo sahihi
 
Kwa nini yeye kuumbwa isiwe hoja ila ulimwengu kuumbwa iwe hoja ??
 
Kwa nini yeye kuumbwa isiwe hoja ila ulimwengu kuumbwa iwe hoja ??
Ni ngumu kujua mungu katika wapi.ila tunaiona uwepo wake Kwa matendo yake.anajua yeye maana ndo nguvu ya mwisho
 
Dunia haijatokea.

Dunia imekuwepo milele.

Hakuna wakati ambapo Dunia haikuwepo.
Hyo milele Sasa ndo yupo MMOJA ALIKUWEPO NAE NI MUNGU.na ALIKUWEPO hata kabla ya hii Dunia kuwepo.maana mbingu na ardhi zilishikana yeye ndo akazitenganisha zikawa juu na chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…