Ni bora nife bila fedha ila sirudii kuoa mke mwenye elimu ya degree na muajiriwa

Mie ndio maana nasema mwanamke kabla hujamuoa lazima uwe ulishaga mzabua makofi.
Hayo mapenzi yenu ya kihindinsijui kuchikuchi hotae ndio madhara yake hayo
 
Tatizo linaanza pale utakapoanza kugawana majukumu ya familia na mwanamke, ndugu zangu wanaume hakikisha unatimiza majukumu yako yote kama baba, mume na kichwa cha familia.
Angalizo:
"Kama huna akili timamu usioe"
 
Glass baridi ya juice ukiwa umechoka si salama kwa afya yako

Alisikika Prof Janabi akisema
 
Hik
Haya mawazo ndo yananifanya nisiondoke mbali na huu Uzi.
 
We Acha kufikiria kupitia Kalio... Mwanaume anahitaji kuheshimiwa na mwanamke regardless Hana au anacho.Kwenda kinyume ni hatari Sana Kwa mwanamke huyo.Na nimaandiko.Au kwakuwa umempata low level mindset basi unaona umemaliza shida
We Acha kufikiria kupitia Kalio... Mwanaume anahitaji kuheshimiwa na mwanamke regardless Hana au anacho.Kwenda kinyume ni hatari Sana Kwa mwanamke huyo.Na nimaandiko.Au kwakuwa umempata low level mindset basi unaona umemaliza shida

Thanks Quote Reply
 
Shikamoo mkuu🤣🤣🤣
 
Pasi nashaka wewe ni mhanga kama Mimi...
Wakwangu anakazi akanunua Gari lake wakati Mimi napambana na ujenzi.
Siku iso eleweka sikuliona lile Gari nilivyo muuliza akanijibu Gari lako au Langu
Pia umenioa Mimi ama Mshahara wangu.
Bado mpo kweli🤣🤣
 
Ndoa ni kuvumiliana na kurekebishana. Je kuna hatua zozote unachukua kumrekebisha? Au mpe talaka oa mwingine wapo wengi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…