Ni bora nife bila fedha ila sirudii kuoa mke mwenye elimu ya degree na muajiriwa

Huyu iko nje ya ndoa wewe sio mme wake huwezi kujua anamzidi je akili, usichanganye professionalism ujuzi na akili za ndoa, boda boda alio oa akimu hawezi kumzidi akili ila anamzidi ujizi elewa hilo mkuu.
Umenena ukweli
 

Upo sahihi Kabisa
Ndio maana mwanamke yupo humble na mtiifu kwa mwanaume ambaye anajua kabisa hata yeye akiondoka mwanaume hatapata hasara yoyote na mwanaume hatajali. Isipokuwa mwanamke ndio anaona atapata hasara.

Ndio maana mwanamke akitishia kuondoka au akiondoka kwao kisa kukutisha, wewe usimzuie muache aende. Uone
 
Unamwaga maji ya ndoo 1 baharini Ndugu, huyo Jamaa mwache aendelee kushupaza shingo ili yakimkuta aelewe kwanini Baba na Babu zetu huonekana wana upeo kuliko kikazi chetu ingawa tunawazidi elimu dunia.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Haya mambo hayana fi Rmula mimi nilimuoa wa darasa la saba ila nilijuta kabisa ujeuri,maneno ya shombo plus kurusha mangumi kutaka kunipiga nilijuta
 
Ushasema ni muajiriwa ila wewe peke yako ndo unachoka ila yeye kwa vile ni mwanamke ni roboti hapaswi kuchoka?
Kwahiyo kwangu alikuja kutafuta nini? Singebaki kwao akiwa anatokea kuenda kazini kwake, lengo la kuoa kwangu ni kupata msaidizi wa kunilea pamoja na watoto wangu, sio economic partner.
 
Haya mambo hayana fi
Rmula mimi nilimuoa wa darasa la saba ila nilijuta kabisa ujeuri,maneno ya shombo plus kurusha mangumi kutaka kunipiga nilijuta
Hiyo bahati mbaya ukuweza kutafuta kwenye familia nzuri, ila wengi wa darasa la saba ni watiifu na wanyenyekevu
 
Tunafanya observation from the past af ndo tunafanya judgement mkuu mwanamke msomi muajiliwa ni pasua kichwa.
Amini mkuu hiyo hulka ambayo ilijificha pengine hukuwahi iona from the scratch tena ipo hata kwa baadhi ya wanaume wapo wengine wakiwa hawana ni watulivu ila wakipata wanachange.

Sas unataka kusema kilichowabadilisha ni ajila, usomi au ni wameamua kuonyesha their nature?
 
Ushayakoroga 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nani kasema la saba atakua mnyenyekevu?

P.s. hii meme niniliona kwenye WhatsApp group.
 

Attachments

  • IMG-20241212-WA0003.jpg
    38.3 KB · Views: 6
Mkuu najua na kuzidi umri na experience katika hao wanawake, akiwa msomi mwenye kipato hata maneno yake yana choma, hawezi akawa amenunua mboga za nyama alafu ukimkosoa kwamba umepika vibaya unajua maneno atakae kurudishia.......... ???achana na kiumbe mwanamke kinapaswa kua nyumbani kulea watoto sio ofisini
 
Speaking from experience tunaweza kuwa differ au sawa, binafsi nilikuwa na mahusiano na mdada ambae nilikutana nae tangu mm namaliza form 4 yeye yupo form 2 miaka mingi iliyopita nikaendelea advence to cut the long story short mpka sas uyo dada ana masters tena karud mwaka jana toka canada alipata scholarship lakin zaid ya miaka kumi hajawahi nivinjia heshima wala kunidisrespect tulikuwa kwny mahusian tangu akiwa bint kigori mpaka sas anamahusian mengine namm nina mengine lakn bdo kuna ile kuwasilana uyu dada alitokeaga kunielewa yeye na kuniapproach alianza yeye mpaka kesho uwa bado anaamini mm ndiyo mumewe.
 
Sasa mkuu jifanye kumuoa ufunge ndoa, then ndo utajua her true colours 70% maisha ya wanawake ni pretence, utakuja kumgundua vizuri baada ya kuishi nae na kumpa mamlaka ya kua legal wife .
 
Huu ni uongo extra wewe inabidi urudi kwenye kikao chetu haya ndio madhara ya kudoji vikao
 
hakuna zuri kwa hao viumbe, awe wa chekechea C ama uniV, kama hakupendi kwa dhati kutoka moyoni mwake ni KAZI BURE tu. raha ya mapenzi ni mwanamke akupende wewe zaidi, hapo utaENJOY mapendo haswa. kinyume na hapo ni ubatili mtupu na kujilisha upepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…