Ni bora nife bila fedha ila sirudii kuoa mke mwenye elimu ya degree na muajiriwa

Sasa mkuu jifanye kumuoa ufunge ndoa, then ndo utajua her true colours ahimsa 70% maisha ya wanawake ni pretence, utakuja kumgundua vizuri baada ya kuishi nae na kumpa mamlaka ya kua legal wife .
Mimi nimekuelewa sana tena sana yaan unajua sometimes naishia kuwaangalia tu hawa viumbe
 
Sasa mkuu jifanye kumuoa ufunge ndoa, then ndo utajua her true colours ahimsa 70% maisha ya wanawake ni pretence, utakuja kumgundua vizuri baada ya kuishi nae na kumpa mamlaka ya kua legal wife .
😂😂😂😂 Mkuu iko hivi by nature binadam yeyote aaminiki so the main point kukaa attention tu, uyu anaweza kuwa msubufu kwangu tena kwa kisasi coz mm ndiyo nilikuwa sababu yakuvunja mahusian mana nilimpachika mimba mwanamke mwengine so akajua aliumia sana tena saana mpaka kesho and wanawake wanasamehe lakni uwa hawasahau.
 
Very excellent mkuu siku akiwa mkeo hawezi kukuzidi akili kabisa, mtu anae ongonzwa na hisia atakuzidi je akili wewe unae ongonzwa na akili?
Sifa kuu mojawapo ya mwanamke bora ni MCHA MUNGU ...
Hii usiaaache kwenye vigezo vyako
 
Sasa huyu anakulia timing siku utakae ingia kwenye fix yake .....ndo utajua kwanini Eva alivo kua na kikao na nyoka hakuleta marejesho ya kikao kwa Adam
 
Ishu ya kifo na je vipi mkifa wote Kaa mkupuo inakuwaje.
Since you can live in future hapo unafanyeje ama kinatokea nini kwa Wanao.
Ama unajua kifo kitakuchukua wewe first.
 
Kama wew umechoka unazan na yeye ajachoka m-bwa wew

Kizaz cha sasa tubadlke tujifunze stadi muhimu za kujitekelezea majukumu yetu kama
Kujiandalia msos
Kuosha sahau tuliyokulia chakula
Kujipakulia chakula
Kujifulia coz days Go will not be the part of marriage business
 
Pole
 
Mie ninaye la saba ana utii Kila kitu fresh Ila nahitaji wa degree ili nifanye adventure ya life hili.
I need a woman having bachelor degree Tena akiwa mchaga itapendeza mno.
Awe daktari ama engineer,or business finally lawyer nazipenda mno hizi professional
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…