Ni branch gani ya CRDB huwa inafunguliwa Jumapili?

wakuu heshima kwenu.
Naomba kufahamishwa kama kuna branch yoyote ya crdb bank ambayo ina operate jumapili kwa huduma za kawaida kama ilivyo siku zingine hapa jijin Dar es salaam, je ipo???
Ahsanten sana.
Tegeta- kibo complex, vijana branch, osterbay branch na Mliman city. Saa 4 mpaka saa 8 mchana.
 
''Cheap labour'' ndio inafanya kazi masaa mengi, kwa sababu anageuzwa kuwa mtambo.
Kama wewe unafanya kazi zaidi ya masaa 8, jua upo kwenye hilo kundi la 'cheap labour'​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…