Naandika mara ya mwisho, sitarudia tena. Taja nchi yoyote duniani ambayo imeendelea na watu wake wanafanya kazi saa chache, taja any in this world. Sheria za kazi Tanzania kwa wiki hutakiwi kufanya over 45 hours, Ujerumani nadhani ni saa 38 kwa wiki, kinacho tokea sasa, kwasababu ya ugumu wa maisha, mtu mmoja anaweza kua na ajira sehemu 2 au tatu; kwa bongo nadhani watu wa afya wapo kwenye mazingira hayo. Daktari anafanya kazi Muhimbuli but huyo huyo anapiga kazi Agha Khan na Hindu Mandal; ulaya hi ni kada nyingi tu.