Ni chakula gani ambacho ulikila unaridhika..

Chakula halali chenye virutubisho (angalau kimoja) vinavyohitajika mwilini
 
Bora nibishane nae tu nikimbembeleza atanitesa sana kwa kuufahamu udhaifu wangu kwenye huo msosi
Ha ha ha, babu ana mambo yake yule, ukimpatia vizuri anaweza kukupa hata banda zima.
 
Mm napenda sana pilau jamani, ikiwa pilau nyama, au pilau kuku na juice bariidi ya matunda fresh huku salad pembeni, yn hapo hata km haujanikaribsha me nakaa nakula tu
Hahahaaa. Basi siku ya iddi ndio liwe pishi letu siku hiyo. [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…