Ni chakula gani ambacho ulikila unaridhika..

Ndio nini na nini sasa?
Hapo nimetaja kwa ujumla, sasa wewe angalia
1. Chakula halali(kimepatikana kwa njia ya halali na ni halali kutokana na Imani yako)
2. Chenye kirutubisho japo kimoja kinachohitajika mwilini mf. Protini, Wanga, Vitamini, Madini n.k
 
We nadhani hujamjua babu vizuri, mimi Bonny na Daby hatujawahi hata kukaribishwa sahani, hata nyama moja moja. Ila sasa kuna watu wanaingia bandani wanaambiwa chagueni tu, hamtamaliza.
Chukueni kitu kizima hiki mkaangaike nacho...
 
Heshima kwenu wana jf

niende straight kwenye mada je ni chakula gani ambacho ukila una ridhika kabisa...??
Mm ni wali maharage yaani kwenye sherehe hua sikosi kama kuna hiki kitu wali maharage

wewe je unapenda chakula gani zaidi

pussy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…