Ni chakula kipi unaweza kula mwaka mzima bila kubadili ukiwa peke yako?

πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
 

Attachments

  • download (2).jpg
    7.6 KB · Views: 3
Samaki lakini mapishi tofauti, au matunda mchanganyiko!
 
Siku nikimgundua aliyegundua hiyo combo nitajitolea kumjengea sanamu la ukumbusho kabisa. Yaani kinafit sehemu zote iwe ni breakfast, lunch, supper au dinner.
Miaka 4000 iliyopita na wahindi wekundu huko amazon
 
Siku nikimgundua aliyegundua hiyo combo nitajitolea kumjengea sanamu la ukumbusho kabisa. Yaani kinafit sehemu zote iwe ni breakfast, lunch, supper au dinner.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bonge la combination hili mkuu. Cku ukmjua mkuu nitag na me nijiunge ktk kumuwekea kumbukumbu
 
Hii combination achana nayo kabsa! [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1474085
Dah, umenikumbusha kipindi flani tulikuwa tumepanga eneo fulani masela watano nyumba moja basi tukaamua tuwe tunapika msosi kwa pamoja.
Basi ikatafutwa sinia flani kubwa tukawa tunaweka kitu humo mzee, tunagonga sio poa...
Hiyo staili tulikuwa tunaiita "la manyani"
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ikawa ikitokea siku mtu akapika wali na mboga nyingine kama nyama, sijui mboga za majani au samaki, mimi na mshkaji wangu mmoja ilikuwa lazima tulete fujo kuwa hatuwezi kula wali bila maharage.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Vyakula vyetu vilikuwa viwili tu, mchana ugali na dagaa mchele usiku wali maharage, ukibadili system wahuni lazima wa mindπŸ˜€πŸ˜€
 
Nimeona umesema matunda,haya matunda ya dadazetu kule uvunguni hayachoshi kuyala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…