Ni chakula kipi unaweza kula mwaka mzima bila kubadili ukiwa peke yako?

Wali samaki , samaki wapikwe na nyanyachungu ama bamia na mboga za majani mchicha ama salad.
 
Wajumbe wakihesabu kura kwenye huu uzi hapa ugali dagaa utakua umeshinda
 
Naunga mkono hoja, yes pilipili kichaa vinakuwa vidogo vidogo lakini weeeee ni vitamu balaaaa hahahahaha

Hahaha pilipili kichaa kabisaaa?

Ugali dagaa mtamu BAK asikwambie NTU
 
Naunga mkono hoja, yes pilipili kichaa vinakuwa vidogo vidogo lakini weeeee ni vitamu balaaaa hahahahaha
Nazijua hizo kichaa ila naskia ni klai balaa, nakushangaa unavosema ni tamuu au mwenzangu tunatofautiana kwenye ladha
 
Zinachangamsha chakula ile mbaya ila unaweza kumega kiduchu tu usirudie tena. Pilipili pia inadaiwa ni dawa mpendwa.

Hiyo dawa inipitie mbali kabisaa[emoji23][emoji23]
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…