Ni ukweli uliwazi kwamba Mbowe akishinda katika nafasi ya uenyekiti, CHADEMA haitakuwa na nguvu tena ya kupambania dola .
Hii ni kutokana na idadi kubwa ya wafuasi kuhitaji mabadiliko ambayo yanaonekana ni vigumu kuyapata CDM kwa sasa .
Hivyo kuna weza kuwa na haja ya kukipa chama kingine nguvu au kuunda chama kipya ili kuendeleza harakati za kisiasa . Toa maoni yako