Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Yaani ukae mwaka mzima ndio ukaripoti? Kisa nje ya nchi?Nimepata dharula ambyo itanifanya niwe nje ya Tanzania kwa mwaka mzima.
We endelea na mambo yako ya nje ya nchi usilete tamaa za kutaka huku na huku. Hebu waachie wenzio walio bongo na wasio na kazi wakafanye kazi hiyo.
Lakini hebu hata wewe jiulize, ingekuwa wewe ndio tamisemi ungefanya nini katika hii situation?