Ni changamoto gani unaweza kutana nayo iwapo hutaripoti kwenye kituo cha kazi ulichopangiwa na TAMISEMI?

Ni changamoto gani unaweza kutana nayo iwapo hutaripoti kwenye kituo cha kazi ulichopangiwa na TAMISEMI?

Nimepata dharula ambyo itanifanya niwe nje ya Tanzania kwa mwaka mzima.
Yaani ukae mwaka mzima ndio ukaripoti? Kisa nje ya nchi?

We endelea na mambo yako ya nje ya nchi usilete tamaa za kutaka huku na huku. Hebu waachie wenzio walio bongo na wasio na kazi wakafanye kazi hiyo.

Lakini hebu hata wewe jiulize, ingekuwa wewe ndio tamisemi ungefanya nini katika hii situation?
 
Kwenda nje ya nchi haimaanishi maisha yanakuwa yamekunyookea, nikirudi utanipa hela ya mboga na kodi.
 
Ndugu yangu usipofika kwenye kituo ulichopangiwa kazi kuna SHIDA kanzi data (data base) itakuja kukutoa kuomba kazi inayofanana na hiyo labda uje uombe kazi Nyingine tofauti na hiyo soma hii attachment yenye SHERIA ZOTE ZA UTUMISHI WA UMMA utaelewa ethari zake
Nashukuru mkuu nimeisoma nimekutan na hicho kipengele kinachoelezea athari za kutokuripoti bila sababu ya msingi.
 
Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi).
Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
Usitegemee kupangiwa kazi kwa levo hiyo tena.
 
Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi).
Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
Sijui ila nahisi mfumo utakuwa unakusoma kuwa huyu tayari alishapangiwa halmashauri x (kwahiyo arukwe)
 
Kwenda nje ya nchi haimaanishi maisha yanakuwa yamekunyookea, nikirudi utanipa hela ya mboga na kodi.
Sasa kama unajua yote hayo kwann unatusumbua, si usiende huko nje ya nchi ukaripoti ulikopangiwa
 
Nimepata dharula ambyo itanifanya niwe nje ya Tanzania kwa mwaka mzima.
Kama ulivyoomba ajira,kwa nini usiwasiliane na mwajiri wako huyo umueleze kiofisi.Zingatia neno "kiofisi" ili uondoe shaka ya kukutana na vizingiti mbeleni.
 
Niliona mahali wanasema usiporipoti hautowwza kuajiriwa tena na utumishi wa umma
 
Sheria za utumishi!
Kama sikusahau unapaswa kuripoti kituo cha kazi kabla ya wiki mbili kuisha!
Zaidi ya hapo toa maelezo!
 
Kama hujapata chek namba unaweza kuomba tena na hata kama ulishapata ukaacha kuna taratibu za kufuata.
 
Kila la kheri waliolamba asali Mungu awatangulie katika majukum yao mapya
 
Back
Top Bottom