Ni chuma ulete ama?

Ni chuma ulete ama?

Habari!

Wenzangu mawakala mpoo? Imagine unafunga hesabu alafu unakuta 150000 hakuna[emoji2300] na hakuna muamala ulizidisha kila kitu kilikua perfect kabisa lakini leo nafunga hesabu 150k hakuna.

Nimekagua msg zote zakutuma na kutoa zote zipo sawa lkn 150k haipo[emoji24]

Wenzangu mnawezaje jamani? From 800k tu 650k kweli? Mpaka sasa siamini.

Kwajinsi nilivyo makini. looooh yamenikuta nwenzenu. Cjui nafanya nini[emoji24][emoji24]
Kuna pesa za majini
Kuna pesa za maruhani
Kuna pesa za mapepo ... Zote hizi zipo pamoja na zingine lakini huwezi kuziona.. Wakija wanazitoa na kuziweka hapo hapo wanasepa na faida unaachiwa majanga
 
Ndugu mshana jumamosi naenda zanzibar naomba Nipe koneksheni na mganga mkali wa huko. Kuna kima kajipendekeza na kiukweli kabisaaaa DAWA YA MOTO NI MOTO
 
Habari!

Wenzangu mawakala mpoo? Imagine unafunga hesabu alafu unakuta 150000 hakuna[emoji2300] na hakuna muamala ulizidisha kila kitu kilikua perfect kabisa lakini leo nafunga hesabu 150k hakuna.

Nimekagua msg zote zakutuma na kutoa zote zipo sawa lkn 150k haipo[emoji24]

Wenzangu mnawezaje jamani? From 800k tu 650k kweli? Mpaka sasa siamini.

Kwajinsi nilivyo makini. looooh yamenikuta nwenzenu. Cjui nafanya nini[emoji24][emoji24]
Duniani kuna mambo mawili mawili....Nuru na Giza....n.k.....fanya maamuzi ili tukusaidie.....find your route.....
 
Kuna siku nimekaa nashangaa pesa zinapeperuka kutoka kwenye box na hakuna upepo [emoji28] mbona nilinyanyuka kuzidaka ingawa nilichelewa maana badae hesabu haikutimia

Saivi ni hapana
Mkuu suluhisho la chuma ulete ni nini!!
 
Mbona hela imeenda nyingi sana? Si huwa wanapiga 10 au 20[emoji2300] sasa 150k jamanii
Usifanye masihara.....Kuna mtu ndani ya bahasha ilipotea m na kukuta kinyesi cha popo....ni hesabu ya mauzo ya sheli....uzuri ni kwamba bosi wake naye ni ""mturutumbi""....akatia Madawa ndani ya ile bahasha...Kisha wakaiweka kwenye drooo....siku iliyofuata pesa ikarudi na Mavi ya popo hakuna.....hiii ni dunia.

.
 
Hivi ndugu uko serious hela ipoteee tuuu bila sababu?

KANUNI INASEMA
hakiondoki kitu bila kitu kupata force yoyote ya kuivuta au kuisukuma.(Newton)

Nakuhakikishia hakuna Chuma ulete ila kuna mistake ndogo sana umeifanya na imekupelekea hiyo.
Labda umezindisha mteja hela au umesoma msg vibaya hasa unapokuwa mgeni wa biashara.

Mpe mtu mwingine akukagulie miamala yako unayosema kwan kukagua mwenyewe ni njia moja wapo ya kurudia kosa lile lile ulokoea

Haya mambo ya chuma ulete ni kwa watu wenye uwezo mdogo wa kufikiria.(Mara nyingi utayasikia kwa watu wanao anza bishara wepesi wa maswala ya kishirikina ,masikin , n.k)

Na wadokozi wa hela wa nyumban(karibu) hutumia upenyo huo na kusingizia chuma ulete.

Tafadhali sitaki kitisho cha OHOOO HUJAKUTANA NAYO
MAANA SITAKAA PIA KUTANA NAYO

Ushauri wangu ipo sababu chunguza kwa umakini alafu achana na mawazo ya chuma ulete.
 
Hii dunia ina mambo yake, ukienda maduka ya Mlandege (Zanzibar) kununua vitu na vifaa miongoni mwa wateja ni majini! Unakuta mhindi anakuangalia kwa macho makali!Wenyeji watakuwa mashahidi kwenye hili!

Kuna siku nimepanda gari ya abiria (Zanzibar), kuna abiria akamuambia konda nashuka kituo fulani zaidi ya mara tatu, konda na abiria tukasema umesikika!

Kufika kituo konda anauliza haya njoo ushuke, kimya ! Mzee mmoja akasema ondosha gari ameshashuka mhusika na bado wawili! Tembea uone! Upo bar halafu pembeni yako ni jini!
 
Habari!

Wenzangu mawakala mpoo? Imagine unafunga hesabu alafu unakuta 150000 hakuna[emoji2300] na hakuna muamala ulizidisha kila kitu kilikua perfect kabisa lakini leo nafunga hesabu 150k hakuna.

Nimekagua msg zote zakutuma na kutoa zote zipo sawa lkn 150k haipo[emoji24]

Wenzangu mnawezaje jamani? From 800k tu 650k kweli? Mpaka sasa siamini.

Kwajinsi nilivyo makini. looooh yamenikuta nwenzenu. Cjui nafanya nini[emoji24][emoji24]

Kuna siku utapata majibu ya hiyo pesa na nakuhakikishia sio chuma ulete...nakuomba uje tena uzi huu useme ulichokigundua.....
 
Usifanye masihara.....Kuna mtu ndani ya bahasha ilipotea m na kukuta kinyesi cha popo....ni hesabu ya mauzo ya sheli....uzuri ni kwamba bosi wake naye ni ""mturutumbi""....akatia Madawa ndani ya ile bahasha...Kisha wakaiweka kwenye drooo....siku iliyofuata pesa ikarudi na Mavi ya popo hakuna.....hiii ni dunia.

.
Mkulungwa Yuko wapi. Testimonial hzi Bufa awepo
 
Hii dunia ina mambo yake, ukienda maduka ya Mlandege (Zanzibar) kununua vitu na vifaa miongoni mwa wateja ni majini! Unakuta mhindi anakuangalia kwa macho makali!Wenyeji watakuwa mashahidi kwenye hili!

Kuna siku nimepanda gari ya abiria (Zanzibar), kuna abiria akamuambia konda nashuka kituo fulani zaidi ya mara tatu, konda na abiria tukasema umesikika!

Kufika kituo konda anauliza haya njoo ushuke, kimya ! Mzee mmoja akasema ondosha gari ameshashuka mhusika na bado wawili! Tembea uone! Upo bar halafu pembeni yako ni jini!
Zanzibar ipi mkuu mana kuna mmakonde kjichanganya nataka nikafanye mipango ndugu zake mwaka huu wapate urithi
 
Hivi ndugu uko serious hela ipoteee tuuu bila sababu?

KANUNI INASEMA
hakiondoki kitu bila kitu kupata force yoyote ya kuivuta au kuisukuma.(Newton)

Nakuhakikishia hakuna Chuma ulete ila kuna mistake ndogo sana umeifanya na imekupelekea hiyo.
Labda umezindisha mteja hela au umesoma msg vibaya hasa unapokuwa mgeni wa biashara.

Mpe mtu mwingine akukagulie miamala yako unayosema kwan kukagua mwenyewe ni njia moja wapo ya kurudia kosa lile lile ulokoea

Haya mambo ya chuma ulete ni kwa watu wenye uwezo mdogo wa kufikiria.(Mara nyingi utayasikia kwa watu wanao anza bishara wepesi wa maswala ya kishirikina ,masikin , n.k)

Na wadokozi wa hela wa nyumban(karibu) hutumia upenyo huo na kusingizia chuma ulete.

Tafadhali sitaki kitisho cha OHOOO HUJAKUTANA NAYO
MAANA SITAKAA PIA KUTANA NAYO

Ushauri wangu ipo sababu chunguza kwa umakini alafu achana na mawazo ya chuma ulete.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Msomi katika hapa na paleee
 
📌📌📌📌📌📌📌
 
Back
Top Bottom