Hivi ndugu uko serious hela ipoteee tuuu bila sababu?
KANUNI INASEMA
hakiondoki kitu bila kitu kupata force yoyote ya kuivuta au kuisukuma.(Newton)
Nakuhakikishia hakuna Chuma ulete ila kuna mistake ndogo sana umeifanya na imekupelekea hiyo.
Labda umezindisha mteja hela au umesoma msg vibaya hasa unapokuwa mgeni wa biashara.
Mpe mtu mwingine akukagulie miamala yako unayosema kwan kukagua mwenyewe ni njia moja wapo ya kurudia kosa lile lile ulokoea
Haya mambo ya chuma ulete ni kwa watu wenye uwezo mdogo wa kufikiria.(Mara nyingi utayasikia kwa watu wanao anza bishara wepesi wa maswala ya kishirikina ,masikin , n.k)
Na wadokozi wa hela wa nyumban(karibu) hutumia upenyo huo na kusingizia chuma ulete.
Tafadhali sitaki kitisho cha OHOOO HUJAKUTANA NAYO
MAANA SITAKAA PIA KUTANA NAYO
Ushauri wangu ipo sababu chunguza kwa umakini alafu achana na mawazo ya chuma ulete.