Ni chuma ulete ama?

Wahasibu watakwambia huja balance hesabu vizuriπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...hiyo ni ngumi ya shingo..na ndio namna mitaji ya wengi inakata bila kujua sababu hasa ni Nini ikiwa anatunza hesabu vizuri...
 
Wahasibu watakwambia huja balance hesabu vizuriπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...hiyo ni ngumi ya shingo..na ndio namna mitaji ya wengi inakata bila kujua sababu hasa ni Nini ikiwa anatunza hesabu vizuri...
watu wa humu wanaopinga uchawi mwenyekiti wao ni Bufa mwenyewe hayuko tanzania na kaapa hawezi kururdi. Yeye mwenyewe kaukimbia huohuo kwao Mbeya
cc. Bufa
 
Kwanza hapo uelewe kuna mtu zaidi ya mmoja.
Kuna wa buku 2000,5000 na kumi
Hivyo hapo shamba la bibi kila mtu anajichukulia tuu.
Kemea hilo pepoo,lishindwee
Ila kumuka moto hauzimwi kwa maji isipokuwa kwa maji yenye mchanganyo na mchanganyiko
 
Boss hesabu zisibalance 150k? Huwa inatokea labda 1000 au 5000 lkn haijawahi kua 50k na zaidi yake.
Muamala mkubwa wa kutoa nimefanya mmoja tu kuna mtu alitoa laki mingine ni midogomidogo sana na ninahakika sijamzidishia mtu hela. NINAUHAKIKA na miamala yote niliyoifanya jmos,jpil na jana j3. Na msg sijafuta zipo kuanzia jmos mpaka jana j3.
 
Kwanza hapo uelewe kuna mtu zaidi ya mmoja.
Kuna wa buku 2000,5000 na kumi
Hivyo hapo shamba la bibi kila mtu anajichukulia tuu.
Kemea hilo pepoo,lishindwee
Ila kumuka moto hauzimwi kwa maji isipokuwa kwa maji yenye mchanganyo na mchanganyiko
Basi kwa mara ya kwanza mtu kaamua kujichotea tena bila huruma
 

Ondoa hiyo dhana ya chuma ulete kwanza alafu fatilia bila Pupa hata kama sio leo iko siku utajua hiyo hela imeenda wapi.


Chuma ulete zingekuwepo watu wengi sana wangefeli.

Zaidi ya hapo utashauriwa mamno mengi, Mara kwa Sa ngoma mara manabii ila kumbe kuna mistake haujaifanyia kazi.
 
Kwa sangoma siendi, siendii nakuhakikishia. sema ngoja wanijuze tu mbinu 2,3 sisi ni Africans hatuwezi kukataa asili yetu tukubali tukatae, na Mungu aliumba mitu itusaidie. Ila kwa mganga siendi ng'o
 
Kagua simu yako upande wa kusevu majina unaweza Kuta Kuna jina limeseviwa TIGOPESA. anakuja hapo anakutumia sms ya kutunga unampa pesa
 
Tafuta ndimu ambayo Iko kama chumvi weka na kipande Cha mkaa weka kweye droo Yako hakuna mbwa atakusa hapo, Au chukua ndimu mbichi ichome na sindano ambayo haina tobo lolote la kuweka Uzi hakuna mjusi yeyote atakusa hapo, au ukipata ndulele na ndimu zitoboe pitisha uzi funga kama bangili weka kweye droo dadeki hata DP Wachawi watasonya mbwa hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…