Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Wakuu ni chuo gani uliwahi kusoma ila baada ya kuwa pale na kupita ukagundua ni heri ungegundua mapema usingelienda kusoma pale? š¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
š¤£š¤£ kwanini?UDOM
Chimbo la sogea tuishi.UDOM
UDSM.
hiyo ndio kansa kwa Taifa hili.
Imetoa wataalam mafisadi wanatuibia mpaka leo.
Na wanasaidia kweli kupeana michongo.
Kwa hiyo ulitaka wakuache ujiuze?MUM, tuliopita pale vipi, mnawakumbuka makuraa?? Mtu unafuatiliwa mpaka mjini! Hawana adhabu ya onyo zaidi ya kufukuza!
Wapi mahakama ya kadhi?? Mungu anasamehe lakini wenyewe hawatoi msamaha! Mawazo ni kuwinda wafanya ngono!
Udsm pale hamna kitu.UDSM kwenye ranks ya vyuo duniani na Afrika ndiyo nambari one kwa Tanzania.
Labda kama una maana watu wote wasiende shule kabisa, kama wewe ndugu?
Udsm pale hamna kitu.
Ni number one kwenye makaratasi ila ndio chungu cha kutoa wezi na kwa miaka yote hiyo sitini ndio wameshiriki kutufanya maskini mpaka sasa.
UDSM namba moja ya wapi wa tapeli?UDSM kwenye ranks ya vyuo duniani na Afrika ndiyo nambari one kwa Tanzania.
Labda kama una maana watu wote wasiende shule kabisa, kama wewe ndugu?
Kwani mkuu ukitupimia sisi unatuonaje kama nchi? Tuko sawa kweli??Unakiri UDSM #1, ila hamna kitu?
Huko kusikokuwa #1 kumbe wana hali gani ndugu?
Mwache huyo kilaza wa UDSm aliyegraduate kwa kukariri madesa hajui hata Muhas ndio namba moja kwa sasa.UDSM namba moja ya wapi wa tapeli?
UDSM ya sasa ni chuo cha kata.UDSM, MUHAS, UDOM