Inspector Jws
Senior Member
- May 23, 2024
- 126
- 242
Hizo umesema n ranks lakin n chuo ambacho kinatoa wataalamu wa GPA nzuri lakini kwenye placties hamna kitu na ni wa hivyo na wala rushwaUDSM kwenye ranks ya vyuo duniani na Afrika ndiyo nambari one kwa Tanzania.
Labda kama una maana watu wote wasiende shule kabisa, kama wewe ndugu?
Hata waajiri siku hizi wanaliongelea hili swala
Lakini pia UDSM unakuta kuna mradi wa ujenzi, wanachofanya wanatangaza kandarasi kwenye makampuni wakati wana wasomi Engineering kabisa