Ni chuo gani hapa Tanzania huwezi mshauri ndugu yako asome hata iweje?.

Kwani mkuu ukitupimia sisi unatuonaje kama nchi? Tuko sawa kweli??

Yaani pamoja na Rasilimali zote hizi bado tunaishi kwa misaada na mikopo??

No wonder Prof. Kabudi alishukuru kutolewa Jalalani.

Tofautisha siasa ndugu!

Hizi propaganda zenu na kina Dotto za sizitaki mbichi waambieni wajinga wajinga tu:

IMG_20240824_065438.jpg
 
Wakuu ni chuo gani uliwahi kusoma ila baada ya kuwa pale na kupita ukagundua ni heri ungegundua mapema usingelienda kusoma pale? 🤣
Akili ndogo! Chuo hakikubadilishii status ya maisha ila kinakutengenezea mwongozo wa kukabiliana na changamoto za kimaisha...kasome Havard PhD then uje hapa kuainisha mafanikio yako
 
Sasa kama Prof wa hicho chuo mwenye uhitimu wa juu kabisa anapaita jalalani sisi unataka tuseme nini kama si kukubaliana na mtaalam kuwa hapo ni jalalani??

Ukiambiwa uonyeshe alipopaita jalalani, utaweza?

Kwani wewe unaweza kujilinganisha na Kabudi kama mwenyekiti wa chama chako kaamua kumpigia magoti akaokoe jahazi, ngorongoro?

johnthebaptist hebu kumbusha nduguyo huyu aweke siasa pembeni, Kabudi siyo size yake.

Lissu anapambana na kina Kabudi kisiasa, siyo usomi!

Ficheni ujinga wenu ndugu zangu!

Zawadini, wale jamaa zetu wameamka na zile ndoto uchwara zao tena.
 
Ukiambiwa uonyeshe alipopaita jalalan, utaweza?

Kwani wewe unaweza kujilinganisha na Kabudi kama mwenyekiti wa chama chako kaamua kumpigia magoti akaokoe ngorongoro?

johnthebaptist hebu kumbusha nduguyo huyu aweke siasa pembeni, Kabudi siyo size yake.

Lissu anapambana na kina Kabudi kisiasa siyo usomi!

Katika wasomi wa hovyo kabudi ni mmoja wapo...msomi wa makaratasi ila elimu yake haijamfanya aelimike ndo maana aliita sehemu iliyopmpatia maisha JALALANI.
 
Kabudi hajawahi kusema katoka jalani.

Neno jalala kaveshwa na Lissu, kisiasa.

Tambua Lissu hana neno dhidi ya Kabudi nje ya siasa.

Sembuse wewe na mimi ndugu yangu?

Ninakazia:

IMG_20240824_065438.jpg

Yaweza kuwa pana ka ukweli hapo.
 
Ukiambiwa uonyeshe alipopaita jalalan, utaweza?

Kwani wewe unaweza kujilinganisha na Kabudi kama mwenyekiti wa chama chako kaamua kumpigia magoti akaokoe ngorongoro?

johnthebaptist hebu kumbusha nduguyo huyu aweke siasa pembeni, Kabudi siyo size yake.

Lissu anapambana na kina Kabudi kisiasa siyo usomi!

Ficheni ujinga wenu ndugu zangu!

Zawadini, wale jamaa zetu wameamka na zile ndoto uchwara zao tena.
Zama zetu pale Mlimani Wahandisi Walikuwa wanakiita Kitivo Cha Sheria " Jalala"

Ni Kwa Sababu ya HGK na HGL 😂😂
 
Kabudi hajawahi kusema katoka jalani.

Neno jalala kaveshwa na Lissu, kisiasa.

Tambua Lissu hana neno dhidi ya Kabudi nje ya siasa.

Sembuse wewe na mimi ndugu yangu?

Ninakazia:

View attachment 3077745
Ukitoa kutoa mimacho na kumwaga mate hovyo kama nyoka huyo profesa njaa hana chochote cha maana. Magufuli tunashukuru sana kwa kuwavua nguo hawa maprofesa uchwara . Dakika ya 18 alimwita Jiwe "Mh Mungu" profesa asiyejiamini.

View: https://www.youtube.com/live/vuVYPpmhZAI?si=K7sjIa_VOzlGdcR6

Hii ya pili anakiri ametolewa kwenye jalalani,

View: https://youtu.be/qJlbZO9DlaA?si=Wu4hVIEPaWuL4FgM
 
Unajua kwanini huyo jiwe unayemsifia hapa for your convenience, alimuhitaji Kabudi kwenye timu yake kama waziri?

Unajua kwanini Samia pamoja na kutompenda bado kamrejesha kwenye serikali?

Lissu, johnthebaptist, na wenye kuona beyond their noses wote wanajua isipokuwa ninyi.

Utake usitake, Kabudi anatatiza vilivyo jitihada za opponents akitia mguu popote kama wakili.

Kumchukia hakusaidii. Heri tu kujipanga kupambana naye.

Na ndiyo maana kina Lissu wanataka kujua aliyefungua kesi ya ngorongoro, kesi na hukumu siku hiyo hiyo; nani?!

Kwamba iko namna, pana mchezo hapo!

Unadhani watayaweza wapiga nyungu au singida big stars hayo?
 
MUM, tuliopita pale vipi, mnawakumbuka makuraa?? Mtu unafuatiliwa mpaka mjini! Hawana adhabu ya onyo zaidi ya kufukuza!

Wapi mahakama ya kadhi?? Mungu anasamehe lakini wenyewe hawatoi msamaha! Mawazo ni kuwinda wafanya ngono!
Ovyo kabsaa wakati wao hadi wanafirana
 
Unajua kwanini huyo jiwe unayemsifia hapa for your convenience, alimuhitaji Kabudi kwenye timu yake kama waziri?

Unajua kwanini Samia pamoja na kutompenda bado kamrejesha kwenye serikali?

Lissu, johnthebaptist, na wenye kuona beyond their noses wote wanajua isipokuwa ninyi.

Utake usitake, Kabudi anatatiza vilivyo jitihada za opponents akitia mguu popote kama wakili.

Kumchukia hakusaidii. Heri tu kujipanga kupambana naye.

Na ndiyo maana kina Lissu wanataka kujua aliyefungua kesi ya ngorongoro, kesi na hukumu siku hiyo hiyo; nani?!

Kwamba Iko namna, pana mchezo hapo!

Unadhani watayaweza wapiga nyungu au singida big stars hayo?
Wakili msomi mh Panya wa Halima Mdee alishiriki ufunguaji Kesi Ya Ngorongoro 😄😄
 
Back
Top Bottom