Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
Vyuo vyote vya Bongo asijaribu ase.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kweli kabisa.Hapo siyo kulaum vyuo...ila mibichwa ya watu wenyewe....
Sasa wategemea chuo kimbadilishe mtu wa aina hiyo...
- Jitu vivu kusoma
- Linapenda ngono
- Linapenda starehe
- Linapenda kuangalia mijengo
- Field anategea kwenda
Sidaiwi chochote.Aya,wewe mwenye IQ kubwa,umeifanyia nini nchi yako...?
Chuo kipi hakitoi mafisadi na wezi mkuu tujuzajeUdsm pale hamna kitu.
Ni number one kwenye makaratasi ila ndio chungu cha kutoa wezi na kwa miaka yote hiyo sitini ndio wameshiriki kutufanya maskini mpaka sasa.
Watu wengi hawajui kuwa udsm huko shule ya sheria na hata coss au cohu na hata udbs tulikua tunapaita jalalani coz ni college zinazochukua combinations zote kama hgl,hgk,hge,hkl,egm,eca,pcm na pcb..so huwa nawashangaa wanaopaita jalalani pasipokujua neno jalala limetoka wapi..Isije kuwa umechanganya jalala na ungwinini?
Hapo udsm kwnini?UDSM, MUHAS, UDOM
Watu wengi hawajui kuwa udsm huko shule ya sheria na hata coss au cohu na hata udbs tulikua tunapaita jalalani coz ni college zinazochukua combinations zote kama hgl,hgk,hge,hkl,egm,eca,pcm na pcb..so huwa nawashangaa wanaopaita jalalani pasipokujua neno jalala limetoka wapi..
Kwa kuwasaidia huko coss,cohu sheria na hata udbs unaweza kupaita jalalani au ungwinini kama walikua hawajui.
Paper tulikua tunaita nyanga?Ni kweli kabisa. Ila ilikuwa kama utani wa jadi tu kisa Eti sababu waliokimbia Masomo ya science huko Shule ya msingi na Secondary. Hivyo hawajui hesabu. Simple as that. ( Ila walipo maliza kozi zao huko kwenye mashirika ya umma na serikalini walikuwa mabosi zetu 🤣🤣)
Mwache huyo kilaza wa UDSm aliyegraduate kwa kukariri madesa hajui hata Muhas ndio namba moja kwa sasa.
Hilo nalo nila kujisifia kujua??Kwamba kumbe hujui hata muhas ni mzaliwa wa UDSM?
Kwa taarifa yako mpaka juzi yake asubuhi sikio halijawahi kuzidi kichwa!
( Ila walipo maliza kozi zao huko kwenye mashirika ya umma na serikalini walikuwa mabosi zetu 🤣🤣)
MUM ndio chuo gani aisee!? Kirefu cha MUM ni nini!?MUM, tuliopita pale vipi, mnawakumbuka makuraa?? Mtu unafuatiliwa mpaka mjini! Hawana adhabu ya onyo zaidi ya kufukuza!
Wapi mahakama ya kadhi?? Mungu anasamehe lakini wenyewe hawatoi msamaha! Mawazo ni kuwinda wafanya ngono!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiki chuo au Secondary iliyochangamka? LolMUM, tuliopita pale vipi, mnawakumbuka makuraa?? Mtu unafuatiliwa mpaka mjini! Hawana adhabu ya onyo zaidi ya kufukuza!
Wapi mahakama ya kadhi?? Mungu anasamehe lakini wenyewe hawatoi msamaha! Mawazo ni kuwinda wafanya ngono!
Dogo hiyo ni satireTutajie watu watatu waliosoma Havard ambao ni walala hoi....
Mana si kuropoka tu.
Hakuna cha kusema satire, Watu humu mmezoea kuropoka tu...Dogo hiyo ni satire
Huo mulinganisho wa harvard na kilimanjaro institute ukufukirisheeeee
Tabia ya wizi na ufisadi haifundishwi vyuoni. Wizi na ufisadi uko kwenye DNA za waafrika. Hapo ulipo wewe naye ni mwizi na fisadi. Labda kama hujapata sehemu ya ku practice.Udsm pale hamna kitu.
Ni number one kwenye makaratasi ila ndio chungu cha kutoa wezi na kwa miaka yote hiyo sitini ndio wameshiriki kutufanya maskini mpaka sasa.