Ni chuo gani hapa Tanzania huwezi mshauri ndugu yako asome hata iweje?.

Ni chuo gani hapa Tanzania huwezi mshauri ndugu yako asome hata iweje?.

Wewe unadhani Mwalimu Kabudi alikurupuka kusema katolewa " JALALANI"?

Nyakati hizo Vidume walikuwa akina Luhanga, Mwandosya nk 😂😂

Ikumbukwe Kabudi hakusema katolewa jalalani, ila Lissu ndiye aliyekomelea msumari wa mwisho kitalumati.

Taaluma za hao ndugu zinawafunza maneno magumu ya kukomelea mwisho, kuliko hata kugongelea na nyundo.

Alisema kaokotwa kuonyesha amekuwa humbled.

Kumbe Mungu awape nini kama wabaya wako, ukimpa mwenyewe Messi mpira kihasara hasara kwenye 18 yako?

Ninakazia Kabudi na kina Lissu huko, siyo size ya wengi wetu wa aina ya kina Dotto Ruta Mokili!
 
Hivi hapo ulipo ndio umejikomboa.biv?🤣🤣

Unadhani hawa wamekurupuka?

IMG_20240824_065438.jpg

Kwani zipo nchi ngapi Afrika? 🤣🤣
 
Ikumbukwe Kabudi hakusema katolewa jalalani, ila Lissu ndiye aliyekomelea msumari wa mwisho kitalumati.

Taaluma za hao ndugu zinawafunza maneno magumu ya kukomelea mwisho, kuliko hata kugongelea na nyundo.

Alisema kaokotwa kuonyesha amekuwa humbled.

Kumbe Mungu awape nini kama wabaya wako, ukimpa mwenyewe Messi mpira kihasara hasara kwenye 18 yako?

Ninakazia Kabudi na kina Lissu huko, siyo size ya wengi wetu wa aina ya kina Dotto Ruta Mokili!
Dotto alikuwa kiungo wa Utopolo FC 😂😂😂😂

Kitambo sana
 
Dotto alikuwa kiungo wa Utopolo FC 😂😂😂😂

Kitambo sana

Kitambo ndugu yangu wakati wasomi Tanzania wasomi wakiwa Prof. Luhanga na Prof. Mwandosya.

Ati na sana sana akiwapo na kijana wao mmoja tu tena tu kwa sababu walimfundisha wao.

Apumzike kwa amani Prof. Luhanga.
 
Ukiambiwa uonyeshe alipopaita jalalani, utaweza?

Kwani wewe unaweza kujilinganisha na Kabudi kama mwenyekiti wa chama chako kaamua kumpigia magoti akaokoe jahazi, ngorongoro?

johnthebaptist hebu kumbusha nduguyo huyu aweke siasa pembeni, Kabudi siyo size yake.

Lissu anapambana na kina Kabudi kisiasa, siyo usomi!

Ficheni ujinga wenu ndugu zangu!

Zawadini, wale jamaa zetu wameamka na zile ndoto uchwara zao tena.
Sikuoneshi nakukumbusha tu kuwa hicho chuo ukiachana na kugundua ufisadi hakuna lolote la maana walilolifanyia nchi hii tukasema tuna watu.

Ukiachana na Magufuli aliyepita hapo kwa bahati mbaya hakuna msomi mwingine yeyote wa hicho chuo ambaye sio fisadi.

Mimi nimefanya kazi na hawa watu nawajua sana.

Wana IQ ndogo halafu ni mafisadi na mabingwa wa majungu.

Wao ndio waasisi wa tabia zote mbovu tulizo nazo kwenye utumishi.

Huwezi kutana na graduate wa chuo kingine anayewekeza muda kwenye fitna na majungu kama wa UDSm.

Nadhani kwakua wamesoma kwa dhiki mno ndio maana hawajiamini na msingi wanaotegemea ni majungu.
 
Aya,wewe mwenye IQ kubwa,umeifanyia nini nchi yako...?
 
Hapo siyo kulaum vyuo...ila mibichwa ya watu wenyewe....
  • Jitu vivu kusoma
  • Linapenda ngono
  • Linapenda starehe
  • Linapenda kuangalia mijengo
  • Field anategea kwenda
  • Research mnaandika kimagumashi,,,mna-copy za miaka ya nyuma ......
  • Lecturer akighailisha kipindi,mnalalamika...
  • Watu hamshiriki kwenye group assignments...
  • Watu hamjifunzi jinsi ya kutumia softwares,mkija mtaani mnahaha

Yani wanafunzi ni wa ovyooo, Chuo hakuna wajibu wa kukulea, we ni mtu mzima,jua ulichofuata....
Sasa wategemea chuo kimbadilishe mtu wa aina hiyo...
 
Back
Top Bottom