Inspector Jws
Senior Member
- May 23, 2024
- 126
- 242
Hizo umesema n ranks lakin n chuo ambacho kinatoa wataalamu wa GPA nzuri lakini kwenye placties hamna kitu na ni wa hivyo na wala rushwaUDSM kwenye ranks ya vyuo duniani na Afrika ndiyo nambari one kwa Tanzania.
Labda kama una maana watu wote wasiende shule kabisa, kama wewe ndugu?
Watanzania bwana unajua kabisa vigezo huna alaf unataka ajent akupeleke chuo nje ukasome tena upate na udhamini. Tumieni akili kabla hamjaongozwa na migemko. Mkuu na division 4 yako ulitaka utafutiwe Hadi udhamini kweli unadhani ni rahisi?Sio chuo tu namshauri mwanafunzi anaetaka kwenda kusoma nje ya nchi asiende kwa mtu anaeitwa TONNY KAMPUNI YA UNIVERSES ABROAD ni tapeli kuliko matapeli wote duniani
ni KAHABA?Ficha ujinga basi,hiyo sio sekondari au primary,chuoni watu wazima
Tatizo lako unafikiri kila mtu yupo kama wewe.Tabia ya wizi na ufisadi haifundishwi vyuoni. Wizi na ufisadi uko kwenye DNA za waafrika. Hapo ulipo wewe naye ni mwizi na fisadi. Labda kama hujapata sehemu ya ku practice.
Mojawapo ya ubora wa chuo hupimwa kwa idadi ya maprofessor heads wa departments na Proffessors wengi wafundishaoUDSM namba moja ya wapi wa tapeli?
Unaota hakuna chuo kinachoongoza kutoa viongozi wa juu kitaifa na kimataifa ndani na nje hadi sasa kama UDSM kuanzia makamu wa Raisi,mawaziri ,wakuu wa taasisi,wakuu wa mikoa nkUDSM ya sasa ni chuo cha kata.
Dogo Elimu na mitaala isawasaidie kujitegemeaWakuu ni chuo gani uliwahi kusoma ila baada ya kuwa pale na kupita ukagundua ni heri ungegundua mapema usingelienda kusoma pale? 🤣
Viongozi mafisadi sio?Unaota hakuna chuo kinachoongoza kutoa viongozi wa juu kitaifa na kimataifa ndani na nje hadi sasa kama UDSM kuanzia makamu wa Raisi,mawaziri ,wakuu wa taasisi,wakuu wa mikoa nk
Kwenye fani kali za digrii za sayansi na uchumi ndani ya nchi na kinataifa hakuna wa kukifikia kikifuatiwa na Chuo cha kilimo Sokoine University hao ndio mabingwa wawili wanaowika.ndani na kimataifa kwa wahitimu wake wenye fani za Science ukiondoa tiba
Labda ukisema chuo cha kama ni kwa madomo ya bla bla waliyosoma akina Generali ulimwengu ambayo dunia ya sasa hayahitajiki sana
Ungesoma UDSM ungejua uandikaje ila sababu hujasoma huko umesoma vyuo vya kata nskusamehe bureViongozi mafisadi sio?
Hivi kulikuwa na ulazima wa wewe kunitaja kwenye huu uzi ????Haya tena MALCOM LUMUMBA Leo wale nduguzo wana jina jipya.
Ama kweli:
View attachment 3077753
Kwa hakika itakuwa je vinginevyo?
Hivi kulikuwa na ulazima wa wewe kunitaja kwenye huu uzi ????
Directly, to the ignore list.Ninamsikiliza Simba ndugu .. tafadhali!
Kuna kipindi kiligungiwaKwa course za humanities siwezi mshauri mtu asome (Kiut)
ila kwa upande WA afya kiut is the best...
Duuuh chuo gani hikiMUM, tuliopita pale vipi, mnawakumbuka makuraa?? Mtu unafuatiliwa mpaka mjini! Hawana adhabu ya onyo zaidi ya kufukuza!
Wapi mahakama ya kadhi?? Mungu anasamehe lakini wenyewe hawatoi msamaha! Mawazo ni kuwinda wafanya ngono!
Kabudi profesa wa hovyo na macho yakE yani yuko serious akiongeza tukienda kwenye meza huko ya madaiano nao tunaangushwa profesa jalalaniKwani mkuu ukitupimia sisi unatuonaje kama nchi? Tuko sawa kweli??
Yaani pamoja na Rasilimali zote hizi bado tunaishi kwa misaada na mikopo??
No wonder Prof. Kabudi alishukuru kutolewa Jalalani.