Fanya kuweka mkuuZiko nyingi sana...
Kuna ya jamaa mmoja alikuwa anaelezea maji ya bomba ya Mtwara yalivyo machafu, anasema hadi inawabidi wayatumie kizalendo, wanasubiri tope linatuama chini ndio wanayatumia.
Nilicheka sana huo uzalendo
Sent using Jamii Forums mobile app
Alisema JIWE JUU YA MAWE