Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah
Kuna ya jamaa mmoja alikuwa anaelezea maji ya bomba ya Mtwara yalivyo machafu, anasema hadi inawabidi wayatumie kizalendo, wanasubiri tope linatuama chini ndio wanayatumia.
Nilicheka sana huo uzalendo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] khaa
Kuna uzi unasema kutuma meseji kimakosa, unaweza upasuke mbavu.

Kuna jamaa alikuwa amemsevu babake kwenye simu NDEZI

Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa
 
Back
Top Bottom