Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara unajikuta unamlinda raisi ambaye anaweza ghafla tu akaanza kutimua mbio.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂 😂 😂 ,kwa jinsi raisi wetu anavyopenda kujaribu kila kitu kuna siku watu watafukuzana na Subaru nakwambia.
bora mbio za miguu usiombe Mh raisi akaenda kuzindua mbio za magari then ajaribu kuliendesha lile lenye bi-turbo na nyie (walinzi) lazima ufungue turbo mguu kisogoni, mguu kwenye paji la uso hapo ndipo utagundua kuacha kazi si kazi bali kazi kutafuta kazi.
Ya kwako hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mweeeh!!Ya kwako hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mada ilikuwa "wadada tuambie Ni mavazi gani ya wanaume wakivaa wanapendeza?"View attachment 1400606
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa mwenye habari za mjomba.
[emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanene tuna maziwa kama mitungi ya gesi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi Ni huu ambao kuna jamaa anasafiri kwenda jombe sijui makambako,akaweka earphone masikioni ili akijamba yasisikike.Mimi huu uzi nilicheka nusu kuzimia wallah.. [emoji23]View attachment 1400768
Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki sijaonana na wewe hapa muda mrefu umepitaKuna hawa members ambao kila Uzi wao huwa wanakoment "hizi ni juhudi za awamu ya tano. Maendeleo hayana chama." Nikikumbuka hii comment nacheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule jamaa amevurugwa kweli.
Kuna uzi mmoja eti anaomba watu wa kujitolea kuwafanyia upasuaji ili aone kama ameiva baada ya kutazama video za youtube kwa miaka mitano zinazohusu namna ya kufanya upasuaji. Yaani udaktari wake kasomea youtube sasa anataka aingie field.
Yule jamaa ni mpuuzi kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Msela yule chenga sana nimeona uzi wake anataka kufanya upasuaji baada ya mafunzo ya YouTube.