Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Daudi Mchambuzi kuna comment yake moja huwa hainitoki

Lumumba 20:10- ( sikumbuki vizuri hapa)

"Basi lumumba wakatoka hadharani na kujigaragaza mavumbini kama chatu huku wakisema ee Sizonje utupeleke utumwani "

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo na mimi naikumbuka Mkuu..
Kuna mada ililetwa nadhani Screenshort walichukua Twitter..
Then Watu wakaanza kutoa na wao mistari yao..
Nilicheka Mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upande Wang comments zilizonivunja mbavu zipo nyingi ila funga kazi sio comment bali ni thread ya mkuu wa kitengo cha vinywaji
 
😂😂😂😂😂😂Balaaa
 
Attachments

  • IMG_20200326_230933.jpg
    IMG_20200326_230933.jpg
    53.9 KB · Views: 10
Daudi Mchambuzi kuna comment yake moja huwa hainitoki

Lumumba 20:10- ( sikumbuki vizuri hapa)

"Basi lumumba wakatoka hadharani na kujigaragaza mavumbini kama chatu huku wakisema ee Sizonje utupeleke utumwani "

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa kwenye uzi wa misemo kutokana na vichwa vya treni. Ule uzi ni moja ya nyuzi zilizofanya niwe kama kichaa kwa kucheka. Watu walikuwa wanashusha torati ni balaa.
 
Upande Wang comments zilizonivunja mbavu zipo nyingi ila funga kazi sio comment bali ni thread ya mkuu wa kitengo cha vinywaji
Yule jamaa amevurugwa kweli.
Kuna uzi mmoja eti anaomba watu wa kujitolea kuwafanyia upasuaji ili aone kama ameiva baada ya kutazama video za youtube kwa miaka mitano zinazohusu namna ya kufanya upasuaji. Yaani udaktari wake kasomea youtube sasa anataka aingie field.
Yule jamaa ni mpuuzi kweli
😂😂😂😂😂
 
Nimejikuta nimekuwa mdau mzuri wa kufuatilia thread zake

Yule jamaa amevurugwa kweli.
Kuna uzi mmoja eti anaomba watu wa kujitolea kuwafanyia upasuaji ili aone kama ameiva baada ya kutazama video za youtube kwa miaka mitano zinazohusu namna ya kufanya upasuaji. Yaani udaktari wake kasomea youtube sasa anataka aingie field.
Yule jamaa ni mpuuzi kweli
😂😂😂😂😂
 
Kuna ule uzi wa kula kimasihara, basi kuna jamaa kaopoa jimama wenzie wakaenda kumpigia chabo mama kuvua tu ile chupi inafunika meza kwa ukubwa... Wapiga chabo wakaanza kucheka jamaa akanyimwa mzigo

Uzi huo huo jamaa sijui walienda hotel gani mkoani huko wako wawili mida jioni mwenzake akamwambia twende Bar tukatafute wanawake, jamaa akasema amechoka hawezi kwenda, basi mmoja akatoka akaenda akaja na mwanamke wake, wakati anamtafuna uzalendo ukamshinda huyu aliyesema hawezi toka akajisogeza taratibu na kumnong'oneza jamaa yake amuachie na yeye jamaa kwa sauti akamjibu huku mwanamke akisikia wewe KMMK SI ULIKATAA KWENDA JITOMB... MWENYEWE MBWA WEWE,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom