Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

'Mi nadhani wangempotezea tu, kwani hakuna nakala nyingine ya hicho kitabu hapo Kilosa?'. Hii comment ilinichekesha sana, ilikuwa ni ya member mmoja hivi ID yake nimeisahau, akijaribu kuchangia maoni yake kuhusu yule jamaa wa Kilosa aliyechoma moto kitabu cha Quran.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nimeikumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii huwa siisahau @yaleyale
Screenshot_20200326-200502.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja na mimi nitaanza kuscreenshoot
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sijui nianze na ipi maana zipo nyingi.
Ngoja nirudi kwenye screenshots zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani
Jamaa kauliza ukipewa gunia la mchele utakuwa tayari kumuacha mpenzi wako? Jamaa kajibu : Gunia? Lote hilo la nini!? NUSU KILO TU INATOSHA

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom