feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Mimi sio coment ila kuna uzi wa kiduku lilo ulinicheksha sana baadhi ya mistari
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaonekana weye siyo mfuatiliaji sana wa JF, Mbao za Mawe ndiye huyo huyo Viatu vya Samaki.
My comments
Kipindi hicho enzi zangu kabla sijajitenga na ulimwengu
Zilikua zinanifurahisha sana [emoji23][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mbao za mawe sio viatu vya samaki
Mbao za mawe ni viatu vya kambale
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno yenyewe ni haya alifungua uzi wa kumtafuta fundi friji mwenye digrii
"Fridge lenyewe ni kama chumba hivi ukitaka kuchukua kitu unaingia ndani siyo unaingiza kichwa au mkono tu.hapana.unaingia kabisa ndani unatembea kuchukua unachotaka."
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi zangu hizi hapa View attachment 1399853View attachment 1399854
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri usifiwe acha kisebengo.My comments
Kipindi hicho enzi zangu kabla sijajitenga na ulimwengu
Zilikua zinanifurahisha sana [emoji23][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ilinipita ila nimecheka baada ya kukusomaHabari zenu wana JF, niende moja kwa moja kwenye mada.
Kwa sisi ambao tunapenda sana kucheka [emoji16][emoji16], JF imekuwa na mchango mkubwa sana katika kutusaidia kupunguza stress kupitia michango ya wadau mbalimbali.
Ninaamini kila mtu ameshakutana na comments nyingi ambazo yeye binafsi anaona zilimchekesha, na kinachomchekesha mmoja siyo lazima kimchekeshe mwingine maana tunatofautiana.
Kuna ile comment mtu unacheka, unalike hiyo comment iliyokuchekesha, yanapita unasahau then maisha mengine yanaendelea, ila ninaamini kila mtu ana ile comment moja humu ambayo ilimchekesha kuliko zote kiasi kwamba hajaisahau hadi leo na akiikumbuka bado anacheka.
Siyo vibaya kama ukimtaja mtoa comment, kichwa cha uzi ambao hiyo comment inapatikana, pamoja na kunukuu hiyo comment yenyewe, kama bado utakuwa unakumbuka hivyo vyote.
Mimi binafsi comment iliyonichekesha kuliko zote ni ya mdau mmoja hivi anajiita GeoMex kwenye uzi mmoja wa Mshana Jr wenye kichwa kinachosomeka "Tafsiri ya kukutana kimwili", ambapo kwa ufupi mada ilikuwa inasema kuwa siku hizi watu wengi wanakutana kimwili ili mradi tu as unakuta tendo wanafanya watu wawili ila mmoja tu ndiyo anashughulika huku mwingine haoneshi ushirikiano wowote.
Sasa huyo jamaa niliyemtaja hapo juu akacomment hivi, "Teh teh teh kama baba askofu Gwajiboy, anakata viuno na makalio kabana kama mfuniko wa kopo la kimbo binti hana habari" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], akirefer ile video ya ngono iliyosambaa ya askofu Gwajima na yule dada.
Aiseee nikiri kuwa tangu nimejiunga JF nimekutana na comments nyingi zimenichekesha na nyingi nimeshazisahau, ila hiyo comment jamani ni ya tangu mwaka jana ila hadi leo ikinijia kichwani huwa nacheka peke yangu na huwa najiuliza watu sijui wanawazaga nini yaani.
Yawezekana zipo comments nyingi humu za kuchekesha ambazo hatujakutana nazo, wewe taja japo moja tu kati ya zile ulizowahi kukutana nazo, ambayo kwako binafsi hadi leo unaona ndiyo the most humorous of all the comments you've come across in here, ili tuzijue na nyingine ambazo zinachekesha ila hatujawahi kukutana nazo tucheke wote.
😅😅 hongera kwa kuongeza siku za kuishi mkuu.Nyingi mno..wiki hii nimecheka na comment ya Mla Bata kwenye Uzi wa kuoa/kuolewa na kabila moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka sanaKwakweli hizi comment nikiwa na stress nazisoma nacheka mpaka mwisho.
Cc CONTROLA, @linko.View attachment 1399958View attachment 1399959View attachment 1399960View attachment 1399961View attachment 1399962
Umenivunja mbavu wallahi na hizo nukuu zakoKwakweli hizi comment nikiwa na stress nazisoma nacheka mpaka mwisho.
Cc CONTROLA, @linko.View attachment 1399958View attachment 1399959View attachment 1399960View attachment 1399961View attachment 1399962
Wewe dada sijui mama nakupenda sanaNimeshakutajia mkuu
Nashukuru mkuuNimeshakutajia mkuu
Hayo jamaa atakuwa jotiNdo huyo mbao za mawe
Nilikuwa nimepumzika kidogo ndio hata wewe nilishindwa kuku traceMkuu unaonekana weye siyo mfuatiliaji sana wa JF, Mbao za Mawe ndiye huyo huyo Viatu vya Samaki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Habari zenu wana JF, niende moja kwa moja kwenye mada.
Kwa sisi ambao tunapenda sana kucheka [emoji16][emoji16], JF imekuwa na mchango mkubwa sana katika kutusaidia kupunguza stress kupitia michango ya wadau mbalimbali.
Ninaamini kila mtu ameshakutana na comments nyingi ambazo yeye binafsi anaona zilimchekesha, na kinachomchekesha mmoja siyo lazima kimchekeshe mwingine maana tunatofautiana.
Kuna ile comment mtu unacheka, unalike hiyo comment iliyokuchekesha, yanapita unasahau then maisha mengine yanaendelea, ila ninaamini kila mtu ana ile comment moja humu ambayo ilimchekesha kuliko zote kiasi kwamba hajaisahau hadi leo na akiikumbuka bado anacheka.
Siyo vibaya kama ukimtaja mtoa comment, kichwa cha uzi ambao hiyo comment inapatikana, pamoja na kunukuu hiyo comment yenyewe, kama bado utakuwa unakumbuka hivyo vyote.
Mimi binafsi comment iliyonichekesha kuliko zote ni ya mdau mmoja hivi anajiita GeoMex kwenye uzi mmoja wa Mshana Jr wenye kichwa kinachosomeka "Tafsiri ya kukutana kimwili", ambapo kwa ufupi mada ilikuwa inasema kuwa siku hizi watu wengi wanakutana kimwili ili mradi tu as unakuta tendo wanafanya watu wawili ila mmoja tu ndiyo anashughulika huku mwingine haoneshi ushirikiano wowote.
Sasa huyo jamaa niliyemtaja hapo juu akacomment hivi, "Teh teh teh kama baba askofu Gwajiboy, anakata viuno na makalio kabana kama mfuniko wa kopo la kimbo binti hana habari" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], akirefer ile video ya ngono iliyosambaa ya askofu Gwajima na yule dada.
Aiseee nikiri kuwa tangu nimejiunga JF nimekutana na comments nyingi zimenichekesha na nyingi nimeshazisahau, ila hiyo comment jamani ni ya tangu mwaka jana ila hadi leo ikinijia kichwani huwa nacheka peke yangu na huwa najiuliza watu sijui wanawazaga nini yaani.
Yawezekana zipo comments nyingi humu za kuchekesha ambazo hatujakutana nazo, wewe taja japo moja tu kati ya zile ulizowahi kukutana nazo, ambayo kwako binafsi hadi leo unaona ndiyo the most humorous of all the comments you've come across in here, ili tuzijue na nyingine ambazo zinachekesha ila hatujawahi kukutana nazo tucheke wote.
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwakweli hizi comment nikiwa na stress nazisoma nacheka mpaka mwisho.