Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Hahahaa jus hahahaha

Kuna mwana simkumbk jina alipost uzi wake kuwa kuna manz anamsumbua anatka amuache ila awezi .....
Koment za wadau zaikaanza kushuka ss...mwana wa kwnza akamwbia futa nmba jamaa akasema siwez futa nmb nimeikariri hahahaha akatokea mwendewazimu huko alipotokea akamwambia "KATA KICHWA" hahahaha hii comment siwezi isahahu nikikumbuka nacheka mwnywe tu...nakumbuka nilikuwa nipo nakata gogo toi huku nasoma hii koment nilicheka mpka gogo likatoka haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni comment iliyonifurahisha sana kwenye uzi wa Majukumu ya usalama wa taifa wawapo kazini.
Mara unajikuta unamlinda raisi ambaye anaweza ghafla tu akaanza kutimua mbio.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂 😂 😂 ,kwa jinsi raisi wetu anavyopenda kujaribu kila kitu kuna siku watu watafukuzana na Subaru nakwambia.
 
Kuna huu uzi wa Zero IQ unaosema "Siku hizi Wanaume ndio wanaolia Msibani".
Kuna comments mbili za Washkaji ziliniacha hoi sana.

1)"Mijanaume inalia mpaka inaangukia kwenye mabega ya warembo,huku imeachia makalio wazi pambafff sana" cc kichomiz

2)"Janaume linalia huku linatafuna kachori.Domo limelegea kama anabwia bwimbwi". Cc Moisemusajiografii
 
dah kwenye Uzi wa teegarden"sayari yenye uwezo wa viumbe allien kuishi" mtoa mada akasema anajua alien wanapatikana sehemu sio mbali na dunia ni nyuma tuu kidogo😱😱😱😱

mdau aka comment "hata Mimi nawashangaa wazungu wakati hapa bongo jamaa yetu anajua wanapopatikana"😭😭😭😭😭
 

Ahhaahahha mtag aisee


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…