Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Mdau mmoja wa Magari alianzisha mada inahusu "Jinsi ya kuwasha gari kwa dharura pale betri ikiwa imegoma",katika maelezo yake akazungumzia kwamba unafunga kamba kwenye tairi then kuna maelezo yakaendelea..baada ya kumaliza sasa

Kama kawaida kuna jamaa akacoment "kwa sisi tunaotumia betri za sim unatusaidiaje?

Sasa jibu alilopewa hapo chini na mdau mmoja anajiita Ochumeraa huwa nikikumbuka mpaka leo nacheka sana[emoji23]
[emoji23][emoji23]da!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…