Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Nili imagine hii hali nilijikuta nacheka ka mjinga
 

Attachments

  • Screenshot_20191203-090220.png
    33.1 KB · Views: 5
Hahahaa mimi kuna uzi mmoja ivi jamaa walikua wanabishana kuhusu wasafi mara kwenye comment wakarukia kweny mzki wa naijeria sasa jamaa wanabishana ad ukisoma unaona kama hawa jama wana ugomvi wao njee et wanasema wasanii wa Nigeria wanaachiani sasa wanavotoa list ya sjui nani alimuachia mtu flan,af uyo nae akamuachia mtu flani yn m nlicheka siku hiyo hadi nkaamua kufungua account JF ili niwafaidi vizur😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…