Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Kuna dada mmoja anaitwa Edelyn
Sijui alipotelea wapi

Michango yake ya ki feminism ilikuwa inanichekesha sana
Edelyn hata mimi alikuwa ananikosha sana mkuu. Tena ukikuta anapambana na jamaa mmoja anaitwa Lizarazu basi ilikuwa patashika nguo kuchanika. Halafu akapotea ghafla. Labda alishaolewa na kuamua kuachana kabisa na mambo ya feminism [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii niliwahi kuiona kwenye status ya mtu nilicheka
kwenye Uzi wa mshana wa vituko kuna MTU ali comment

"bibi mmoja aliingia chooni akiomba asikutane na pepo mchafu ghafla akasikia sauti

KWA UCHI GANI Hebu kunya uondoke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81]
 
[emoji16][emoji16][emoji16]Naikumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Oohh sasa umeshanijua enh, hata sielewi dada basi tu mdogo wako naye mambo mengi. Ila nakuahidi sitabadili tena hii ndiyo ya mwisho, maana hata mods nao wameshanichoka.
 
Ni kweli hakukuwa na haja ya ku mind kwa vitu ambavyo vinaweza kuwa replaced.
 
Unaweza kuta aliolewa na huyo huyo Lizarazu.
Jf ina mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…