Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Kuna uzi aliyeuleta alikuwa anadai ni Freemason, akawa anatoa uongo wa vitu alivyojidai wanafanya kule. Watu wakambishia member mmoja akaja kumtetea eti:
"Kuna Freemason na Filimasoni. Huyu mleta mada yeye ni Filimasoni" nilicheka sana siku hiyo.
 
Nakumbuka nyuzi moja ilikuwa inazungumzia wanawake wa mbeya jinsi walivo na ubabe

Kuna mchangiaji mmoja ali comment hivi

Hawa wanawake hasa wanapokutana wenyewe hujisifia UNUNDA WAO wa KISENGE
😂😂😂😂😂😂
Sitasahau hiyo comment aisee
 
kweli ni kama ulivyosema si kila coment inichekeshayo mimi itamchekesha yule. kwa mfano hii uliosema imekuchekesha kwa upande wangu ni ya kawaida mno!
 
Kuna uzi ulianzishwa unasema Mvua ikiwa inanyesha unapenda kufanya nini.?

Jamas mmoja akakomenti kua anapenda kuwa ananyoa ma***zi na kuyatupa dirishani halafu anakua anayaangalia yanavyopelekwa na maji.

Nimeikumbuka nikabaki.kucheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…