Hiyo na mimi naikumbuka Mkuu..Daudi Mchambuzi kuna comment yake moja huwa hainitoki
Lumumba 20:10- ( sikumbuki vizuri hapa)
"Basi lumumba wakatoka hadharani na kujigaragaza mavumbini kama chatu huku wakisema ee Sizonje utupeleke utumwani "
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa Sinzonje ututoe utumwaniDaudi Mchambuzi kuna comment yake moja huwa hainitoki
Lumumba 20:10- ( sikumbuki vizuri hapa)
"Basi lumumba wakatoka hadharani na kujigaragaza mavumbini kama chatu huku wakisema ee Sizonje utupeleke utumwani "
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo Miss Natafuta kweli huyo?Kuna mada moja nakumbuka ilikuwa serious kidogo... mjadala motomoto.. akaandika sista mmoja "mi napita tu na papuchi yangu mbichi" nilicheka kwa nguvu sana siku ile...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure, unasoma unajiuliza huyu mtu kawaza nini!! Jf is never boring.Asilimia kubwa watu wa huku comments zao huwa ni vituko. Kiukweli huwa nasahau shida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna hiyo hapo moja.
Jamani almanusura niugue kwa kichekoView attachment 1400098
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubabake...πππππnimetoka kupitia ule Uzi wa "Tanganyika haikuwahi kukaliwa na MTU" jomba akauliza wasenegal asili yao ni wapi?
jamaa akajibu BUZAπππ
Hiyo na mimi naikumbuka Mkuu..
Kuna mada ililetwa nadhani Screenshort walichukua Twitter..
Then Watu wakaanza kutoa na wao mistari yao..
Nilicheka Mno
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeKuna uzi ulianzishwa unasema Mvua ikiwa inanyesha unapenda kufanya nini.?
Jamas mmoja akakomenti kua anapenda kuwa ananyoa ma***zi na kuyatupa dirishani halafu anakua anayaangalia yanavyopelekwa na maji.
Nimeikumbuka nikabaki.kucheka sana
π khaaaaa! Bado unakumbuka tu?
Ilikuwa kwenye uzi wa misemo kutokana na vichwa vya treni. Ule uzi ni moja ya nyuzi zilizofanya niwe kama kichaa kwa kucheka. Watu walikuwa wanashusha torati ni balaa.Daudi Mchambuzi kuna comment yake moja huwa hainitoki
Lumumba 20:10- ( sikumbuki vizuri hapa)
"Basi lumumba wakatoka hadharani na kujigaragaza mavumbini kama chatu huku wakisema ee Sizonje utupeleke utumwani "
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule jamaa amevurugwa kweli.Upande Wang comments zilizonivunja mbavu zipo nyingi ila funga kazi sio comment bali ni thread ya mkuu wa kitengo cha vinywaji
Yule jamaa amevurugwa kweli.
Kuna uzi mmoja eti anaomba watu wa kujitolea kuwafanyia upasuaji ili aone kama ameiva baada ya kutazama video za youtube kwa miaka mitano zinazohusu namna ya kufanya upasuaji. Yaani udaktari wake kasomea youtube sasa anataka aingie field.
Yule jamaa ni mpuuzi kweli
πππππ
Anaomba angalau kazi ya udaktariKuna watu humu ni vituko sana, kwa sasa watu ninaowakubali kwa funny ni kiduku lilo na yule mtanesco.
Ukisoma mwandiko umetulia kama vile anaeleza jambo la maana.Nimejikuta nimekuwa mdau mzuri wa kufuatilia thread zake
Ukisoma mwandiko umetulia kama vile anaeleza jambo la maana.