Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

I see ukitaka kucheka mfuatilie Zero IQ. Kuna comment moja sikumbuki ni uzi gani,ksbb nilikuwa bado sijajiunga. Ali-comment ”UNAFIKA UNAMKUTA SHETANI ANAKUSUBIRI AMEVAA KAPTULA IMECHANIKA MATAKONI”. I see nilicheka siku karibia wiki. Huyu mwamba ndio alishawishi sana nijiunge JF. Sio ushawishi wa mawasiriano,ila vile kumsoma. Zaidi zaidi kila ninapomsoma napiga picha kama namuona ni Mkwele comedian

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Jamaa anazingua chenga sana yule. Eti kazi hata ya udaktari tu.
Halafu kwenye comment anakomaa kwamba kuna ndugu yake mmoja ba mdogo wake alimuunganisha hadi sasa ni daktari.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Msela yule chenga sana nimeona uzi wake anataka kufanya upasuaji baada ya mafunzo ya YouTube.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Msela yule chenga sana nimeona uzi wake anataka kufanya upasuaji baada ya mafunzo ya YouTube.
Halafu sio mvivu wa kujibu maswali, anayajibu kwa utulivu sana.

Kuna uzi mwingine, anaomba mbwa watatu wa kukodi ili wamkamate chatu anayekula mifugo yake. Na kama ikitokea mbwa wakamezwa na chatu inabidi yeye na mmiliki wa mbwa hao wakae mezani waone wanafanyaje.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahaha yeye mbwa wake alimezwa ila anataka akodi mbwa wa wengine wakiliwa azungumze na wenye mbwa [emoji16][emoji16][emoji16] JF sihami mimi.
 
Mkuu naomba niwekee link ya iyo thread hapa
 

Ahhahahaahah kwani walilala chumba kimoja?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…