Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Mie mzima tu mama, hivi hilo jukwaa la chini ndiyo lipi aise?
Mimi?
hapana tutakuwa tunapishana mahukwaa
nashinda sana Jukwaa La Biashara na Lile Jukwaa LA Chini..
Vipi Hall yako?
 
Kuna ule uzi upo kwenye jukwaa pendwa kuhusu migegedo.

Sasa ulikuwa unahusu vitu gani vya kuchekesha mpenzi wako anongea kipindi mgegedo umekolea.

Kuna manzi mmoja alikuwa anamwambia jamaa " Naomba unitukanie kwa sauti Rais....fuli"

Jamaa alikuwa anapata wakati mgumu ukizingatia mzee baba hajaribiwi. Akawa anatukana tu kumridhisha manzi, "Wee ..... Fuli .... K... Mamko" [emoji23][emoji23][emoji23]

Hii sisahau hata kuja kwa masiha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comments zote za Viatu vya samaki na Mbaga Jr ni sheedah dingii ariff.
 
Kuna ule uzi upo kwenye jukwaa pendwa kuhusu migegedo.

Sasa ulikuwa unahusu vitu gani vya kuchekesha mpenzi wako anongea kipindi mgegedo umekolea.

Kuna manzi mmoja alikuwa anamwambia jamaa " Naomba unitukanie kwa sauti Rais....fuli"

Jamaa alikuwa anapata wakati mgumu ukizingatia mzee baba hajaribiwi. Akawa anatukana tu kumridhisha manzi, "Wee ..... Fuli .... K... Mamko" [emoji23][emoji23][emoji23]

Hii sisahau hata kuja kwa masiha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Weka link basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom