Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Ni comment gani iliyowahi kukuchekesha kuliko zote humu JF?

Kuna uzi unasema kutuma meseji kimakosa, unaweza upasuke mbavu.

Kuna jamaa alikuwa amemsevu babake kwenye simu NDEZI

Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]NDEZI
 
kwenye Uzi wa mshana wa vituko kuna MTU ali comment

"bibi mmoja aliingia chooni akiomba asikutane na pepo mchafu ghafla akasikia sauti

KWA UCHI GANI Hebu kunya uondoke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Sorry Kama ulichukia.

Kuna mmoja alinifrausha alisema ukiwa huna hela jua linakupiga mpaka linakwambia wewe fala usiponunua gari ntakupiga mpaka uwe wa njano. Na hizo nywele zinaota puani zitajaa mpaka ushindwe kupumua.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Mwenye ule uzi wa kula kimasihara(kama sijakosea)

Kuna mwamba simkumbuki jina alienda kupiga chabo mahala akamkuta uncle yake(sikumbuki vizuri hapa) anakula demu kwa style ya kifo cha mende.

Sasa badala jamaa aconcetrate kwny kitendo akawa yuko busy kuangalia jinsi uncle ake alivyobinua matako wkt anagongana..asee nilicheka kchz siku ile i wish ile comment niisome tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na huo uzi kama upo jamani mnitag
 
Mimi kuna moja ya Mkuu The Boss ilinichekesha sana nilicheka ile mbaya nilipoisoma mara ya kwanza hadi leo hii nikikumbuka natabasamu, lakini katika ule uzi wa kupanda ndege kwa mara ya kwanza ziko nyingi zinachekesha sana pia kuna ya binti mmoja humu wakati yuko O level boarding walikuwa wakienda kuoga mtoni.

Sasa huyo binti alikuwa hajui kama kuna kunyoa vuzi hivyo alikuwa na vuzi lote tangu lilivyoota mara ya kwanza hahahahahaha. Akiwaona wenzie wamenyoa alikuwa haelewi kitu yeye alidhani ana kasoro ya kimaumbile ndiyo sababu ana vuzi kama lote LOL!
 
Pia Uzi maalum wa screenshot comments zake zinavunja mbavu hatari.
 
Kuna ile aliiandika jembe mmoja (Simkumbuki jina, ila comment yake imenifanya niwe makini sana kipindi cha kutumia MPESA);

"Tumbo la kuhara linaanzaje??? Ile unamlipia mwanao ada ya shule 2,000,000/=TSHS kwa kutumia M-PESA.

Ghafla unashangaa sms inaingia "NDUGU MTEJA Umepokea Dk 95,000,000 VODA kwenda VODA, Dk 65,000,000 kwenda Mitandao yote, GB 100,000, SMS bila kikomo. Tumia kifurushi hichi ndani ya Masaa 24"
Mimi ningekufa kabisa sio kuzimia
 
'Mi nadhani wangempotezea tu, kwani hakuna nakala nyingine ya hicho kitabu hapo Kilosa?'. Hii comment ilinichekesha sana, ilikuwa ni ya member mmoja hivi ID yake nimeisahau, akijaribu kuchangia maoni yake kuhusu yule jamaa wa Kilosa aliyechoma moto kitabu cha Quran.
Very intelligent. Vwry funny. In multiple ways.

Uwezo wa kuchekesha watu mara nyingi unaendana na uwezo wa kufikiri kwa kina na kupita basic stereotypes.
 
Kuna jamaa hapa JF ila sikumbuki alikua nani,alisema yeye alikua anamkamua demu akawa demu yuko chini mwana yuko juu ila kila jamaa akikaribia kufika kileleni yule demu anamshika matako mchizi anampanua kuelekea feni inapopuliza upepo bao linapotea anaanza kazi upya,hahahah.
 
Kuna jamaa hapa JF ila sikumbuki alikua nani,alisema yeye alikua anamkamua demu akawa demu yuko chini mwana yuko juu ila kila jamaa akikaribia kufika kileleni yule demu anamshika matako mchizi anampanua kuelekea feni inapopuliza upepo bao linapotea anaanza kazi upya,hahahah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaah lol
 
MIMI COMMENT ILIYONICHEKESHA SANA NI ILE YA KWENYE UZI WA SINDANO YA KUSHONEA MAGUNIA

AU MNAZUNGUMZIA NYUZI ZA DIZAINI GANI? [emoji848][emoji848][emoji848]
 
😀😀
Screenshot_20201218-093450.png
 
Back
Top Bottom