Ni content creator gani Tanzania anafanya vizuri sana lakini bado watu hawajamzingatia?

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Kuna huyu kijana anaitwa Gasper Comic kwa kweli yuko vizuri sana lakini ni kama jamii haimuoni hivi

Most of the times anazungumzia masuala Tanzania kwa kutumia jina la Malawi

Mwamba yuko vizuri sana lakini jamii bado haijamzingatia
 
Ukitaka Kuona sehemu mbali mbali ukiwa sebuleni kwako basi mtafute Navigator Chinduli.

Najua sehemu nyingi kwa kuangalia tu Channel yake.
 
Kuna huyu kijana anaitwa Gasper Comic kwa kweli yuko vizuri sana lakini ni kama jamii haimuoni hivi

Most of the times anazungumzia masuala Tanzania kwa kutumia jina la Malawi

Mwamba yuko vizuri sana lakini jamii bado haijamzingatia
Uwasilishaji wake umemfanya adumu mpaka leo maana wengi walinyakuliwa na kupotezwa
 
Back
Top Bottom