Ni content creator gani Tanzania anafanya vizuri sana lakini bado watu hawajamzingatia?

Ni content creator gani Tanzania anafanya vizuri sana lakini bado watu hawajamzingatia?

Ila Serkali ya Malawi, ikianza upembuzi yakinifu awamu ya kwanza kwa 50M kati ya 5 ili kujenga Kibanda cha Mlinzi.
 
Kuna huyu kijana anaitwa Gasper Comic kwa kweli yuko vizuri sana lakini ni kama jamii haimuoni hivi

Most of the times anazungumzia masuala Tanzania kwa kutumia jina la Malawi

Mwamba yuko vizuri sana lakini jamii bado haijamzingatia
Content creator Gerson Msigwa
 
Jamaa alisema kuna ukuta ukijengwa na wananchi wenyewe utagharimu kama 5m mpaka kumalizika, Ila ukuta huo huo ukijengwa na serikali kwanza kufanya survey tuu itagharimu 50m 😂
Vijeba na vimama vilaji serikalini vinakuambia "Sheria ya Manunuzi"
 
Wa kwenye mahusiano wako vizuri sana, kama hawatashawishika na pesa wakawa na uvumilivu, watajikuta wametengeneza taasisi moja kubwa sana Africa Mashariki.
 
Kuna huyu wa kuitwa Dompinyo
So far ni one of the best content creator kuwahi kutokea

images.jpeg
 
Shida ya Wamalawi wanakushangilia kipindi upo mtaani, watasema mengi sana ya kukupamba. Ila ukiingizwa korokoloni, hakuna hata mmoja anayesogea kusaidia
 
Wadau wa mambo hayo ya content tz sjui nini,wanasema wanawake wenye makalio tz ndiyo wanatamba huko
Kutwa kutingisha makaliooo na kuyaonesha huko

Ova
 
Back
Top Bottom