Ni dawa gani Nzuri ya kinywa na meno kwa kutumia hapa Tanzania?

Wanawake wanaonuka mdomo hua Watamu knoma 🔥
 
Mkuu mbona mimi tokea nipo mdogo natumia dawa za meno lakini jimengo'a jino kwasababu lilitoboka, Nimeamini Dawa za Meno hazizuii Jino kutoboka
 
Mkuu mbona mimi tokea nipo mdogo natumia dawa za meno lakini jimengo'a jino kwasababu lilitoboka, Nimeamini Dawa za Meno hazizuii Jino kutoboka
Dawa nyingi za meno kwa sasa ni fake mtaani. Kwahiyo hizo zinazotajwa hapa sijui za Thailand mara Turkey ni vigumu kuzifuatilia kwa sababu sijazizoea.

Colgate fake naijua siku ya kwanza tu kuitumia, niliyonunua last time nimeigundua nikaitupa na kwenda kununua nyingine duka la dawa.

Pia pendelea kwenda kwa dentist hata kama huna shida ili achunguze na kukupa ushauri. Mara kadhaa makanisani au taasisi fulani wanatangaza ofa za vipimo na check up ya bure au gharama nafuu. Au kama uwezo unaruhusu unaenda mwenyewe.
 
nzuri kwenye nini? kutibu magonjwa ya kinywa au nzuri kwa ajili ya kusafishia tu kinywa labda yenye mints ,, fafanua zaidi
 
epuka kitu chochote chenye flouride
hasa hizi dawa za meno na maji
tutumie ile miti yetu ya asili kama mswaki au karafuu
 
Sikujua kama mkuu Bichwa una vituko 'kabila hii' waalah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…