kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,117
Hiyo ilitukuta morogoro mazimbu tulikuwa tumelala wanaume kama watatu mana chumba chetu kilikuwa kikubwa vitanda viwili vinatosha na ukitucheki tulikuwa mbavu balaa jamaa walizoa kila kitu visimu sory radio kubwa,tv samsung asubuh tunaamka mlango upo wazi tunashangaa nani alitoka hajafunga mlango kauacha wazi yani wanafungua mlango wote kuchak mali hazipo alooo hii kitu mbaya sana.
View attachment 370942 View attachment 370941
Hivi hawa jamaa dawa yao nini??Maana imekuwa kero sana kwa sasa....Yaani wameiba na kumpaka mtu white dent eneo la "mtaro wa maji machafu" halafu wakatoweka....sio haki kabisaaaaaa
Unafahamu spray wanazozitumia kuwapurizia ndani?Hatari..unalala fufufuu maana sio fofofoo
Hao wezi wakapata na muda wa kuoga kabisa?
Point yangu ni kuwa hao wezi walikuwa na muda mrefu wa kufanya mambo yao mpaka kuwa na confidence ya kuamua waoge kabisa.Unafahamu spray wanazozitumia kuwapurizia ndani?
Swali linasimama palepale unzijuwa spray wanazotumia?Point yangu ni kuwa hao wezi walikuwa na muda mrefu wa kufanya mambo yao mpaka kuwa na confidence ya kuamua waoge kabisa.
Wezi mara nyingi wanakuwa wanafanya mambo yao halafu wanapotea haraka eneo la tukio, ila hawa waliamua waoge kabisa
Sizifahamu ila zitakuwa ni kali sana.Swali linasimama palepale unzijuwa spray wanazotumia?