Ni dawa gani ya usingizi wanayoitumia wezi kupuliza madirishani?

Hao dawa yao IPO, wakiiba mbona watarudisha tena wakilia, dawa ya wezi ni kuwaroga tu Mimi huwa siendi police, iba uone
Nigawie mm walinichapa Mfuko mzima wa IT equipments , external hard disc ya Terabit 1/na mazagazaga kibao to a May mganga ananiambia vitarudi subiri
 

Dah, marehemu, kuna uwezekano dawa ili muathiri sana. Kwa ufupi tuseme hiyo dawa ni sumu tena sumu kali inayokumaliza taratibu!
 
Ipo dawa ya spry pia ipo dawa ya asili yapo majani jina siyajui ila kw macho nawajua hayo majani yakiwa mabichi ukiyapikicha hutoa harusi ya kinyesi basi ukitaji yatumia huyakausha kisha yakikauka mwezi akija huyachoma nnkurusu ule moshi upenyeze ndani yani ukivuta tu ile harusi unakuwa nusu kaput ndani ya masaaa mawili

Ili kuepuka wizi wa namna hii unashauriwa kuwa na maji ndani either kwenye jagi au kikombe maji yawe wazi kwani inasemekana spry yoyote ile au moshi wowote ule ukifulizwa sehemu ambapo maji yapo wazi ile dawa hukimbilia kwenye maji kwanini miye sijui ila nimepata huu uzoefu kwani tuliishi maeneo ambayo wizi wa namna hiyo ulikuwepo mkubwa sana na kina pekee ilikuwa kulala na maji ndani
 

= ajili
=sebuleni
= sebule
 
Daàaaah, umenikumbusha jirani yangu alinunua TV ya m1.25 na subwoofer la nguvu katumia wiki moja wezi wakaja wakawapulizia wakalala usingizi hadi tunawaamsha saa tano asubuhi baada ya kuona kimya sana hiyo nyumba hali tumegana nao usiku wa kulala na hawakuwa na safari yoyote.
Kuwakuta ndani wakaamka kila mmoja akitokea chumba tofauti wezi walibeba na kuwatenganisha mke na mme na kupeleka vyumba tofauti. Wezi ao hao walikula msosi kwanza ndo wakabeba mzigo na hela kidogo iliykuwa around.
Wezi wa namna hii washenzi sana ila dawa yao ni ndogo tu wanapuliza lakini wanakukuta uko macho unakimbizana nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…