Wa nyamadyaki
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,178
- 529
Kha! Haya majina mengine haya,Aisee nimecheka [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kha! Haya majina mengine haya,Aisee nimecheka [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
naona walikunywa hadi kahawa ili wasilale wanavyoiba...wezi walikunywa kwanza chai???
Meseji sent bhana, "zinapatikana wapi? Duuh"Samahani sana, hunijui sikujui.
Pole sana, hao wezi wako ni balaaaThubutuuu wameniibia mara mbili Samsung inch 40 na mifeni yangu miwili ikiiunguruma ndani. Yaani siku hizi pamoja na kuweka mlinzi bado nikitaka kulala nabeba Tv naingiza chumbani. Maana kila nikinunua wanakuja kuchukua kama zao, ya pili waliifungua ukutani kabisa.
Wapo wanaozungushia nyumba yako na udongo wa makaburini. Ukilala haustuki mpaka wakitoka mlango wa nyumba yako, mengine ni imani za kishirikinaHahaha nasikia wanakugusagusa na limjiti kwanza Shuwain sana hahaha
Daàaaah, umenikumbusha jirani yangu alinunua TV ya m1.25 na subwoofer la nguvu katumia wiki moja wezi wakaja wakawapulizia wakalala usingizi hadi tunawaamsha saa tano asubuhi baada ya kuona kimya sana hiyo nyumba hali tumegana nao usiku wa kulala na hawakuwa na safari yoyote.
Kuwakuta ndani wakaamka kila mmoja akitokea chumba tofauti wezi walibeba na kuwatenganisha mke na mme na kupeleka vyumba tofauti. Wezi ao hao walikula msosi kwanza ndo wakabeba mzigo na hela kidogo iliykuwa around.
Wezi wa namna hii washenzi sana ila dawa yao ni ndogo tu wanapuliza lakini wanakukuta uko macho unakimbizana nao.
Kaka kuna watu na shunguri zao aisee. Mie nlikuwaga mbishi kama wewe, kuna mzee mtaan aliibiwa bajaj kwake aisee. Wezi walikuja ucku wakafungua get wakaiba bajaj.Dmkali acha utapeli wako huo,wadanganye hao hao wajinga wenzako.Huo utapeli haujaanza Leo sijawahi kuona ujinga huo popote.Mamia kwa maelfu ya kesi za wizi zimejazana mahakamani na mitaani kote nchini kwa nini usiende kufunga kazi uzimalize zote na wewe uwe bilionea kwa kulipwa kwa kazi nzuri uliofanya.
Nyia rahisi ya kuwazuia ni kuwa na nyumba yenye madirisha ya vioo ili wakianza kuvunja kioo uweze kuwasikia na kuamka na kingine hakikisha ukilala hufungulii radio/mziki kwa saut kubwa kwani itakufnya usisikie wkti wanavunja kioo cha dirisha lko
Shikamoo weziMkuu kuna madawa ya kukuputisha kioo bila ya wewe kusikia, si chemistry tu vioo asilimia kubwa ya nali ghafi ni mchanga wa baharini!
[emoji13] [emoji13] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]hahaaaa umenikumbusha miaka hiyo advance, msimamizi wa biology pract akaivuta maana ilikuwa inatumika kuwafanya panya wazimie wakati wa dissection,yule jamaa alilala hadi pepa inaisha
Hatari sana hawa wezi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]wezi walikunywa kwanza chai???
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Tatizo mnalala sana